Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

Ikulu.......... jipeleke kabla haijaita mara ya 5
daa, jamaa alikuwa anataka kunipa kazi za uteuzi i mean viti maalumu nini? mimi spokeagi hizo kumbe ndio maana nilichelewa.
 
Hiyo inahusiana na matangazo ya voda na tigo. Ukipokea wanaongea upuuuuuzi na ukipiga namba haitambuliki au haipatikani.
 
Ahahaha Jamaa anasaka ajira Huyu, ondoa Shaka hawajakuita bado hao Jamaa wa Tigo
 
Vodacom Muwe na adabu simu yangu hamjaninulia nyie!!

Uhusiano wangu na nyie ni Vocha yenu ; nyie mnipe MB, DK , SMS, privacy, na Network nzr.

Kuna haka katabia kenu ka kuniamsha saa 1 asubuhi , kunipigia saa 5 asubuhi, saa 7 mchana , saa12 jioni na saa 3 usiku muache mara moja!!! Ni usumbufu kwangu!

Mtanangazeje bidhaa zenu kupitia simu yangu bure? Mmekuwa KERO sana kwangu.

No yenu ni hii hapa: +255901761234. NAOMBA MKOME. TV ZIPO MLIPENI MENGI.

TCRA
 
hii number imempigia mdogo angu Jamani
kasema Mtu anaongea kiingerrza na anacheke
Sema Hiyo cheka yake imemfanya mdogo angu atoke chumbani nduki maana anasema sauti inatisha Je hii number ni ya wap
 
hii number imempigia mdogo angu Jamani
kasema Mtu anaongea kiingerrza na anacheke
Sema Hiyo cheka yake imemfanya mdogo angu atoke chumbani nduki maana anasema sauti inatisha Je hii number ni ya wap
Number ipi
 
Hiyo ni namba ya Tigo na hutumiwa kutokea ofisini kwao kuwasiliana na wateja hasa Invoice msg iliyorekodiwa, huwezi kupiga wala kutuma msg kwa no. hiyo. Ova!!
Dogo Mbona line yake ni ya airtel
sasa Hiyo tigo inatokea wap
 
Ukipokea wanakuambia karibu caller tune namengine ya wizi wizi hivi. najua ulifikiri umeitwa interview,pole sana
 
Nimekuta missed call ya hii Namba Kwenye simu yangu ya Vodacom, ni ya nini ? au ndio nimepishana na Zawadi.
 
Back
Top Bottom