Wakati Tanzania tunasubiri ujio wa BOEING mpya, TRUMP afuta order ya ununuzi wa BOEING


Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
1,813
Likes
1,554
Points
280
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2016
1,813 1,554 280
Whaaaaat
...
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,143
Likes
13,090
Points
280
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,143 13,090 280
Mbona kuna ambayo inatengenezwa na nadhani Trump ndio ataanza kuitumia baada ya inauguration yake Jan
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,319
Likes
15,673
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,319 15,673 280
Ok hela irudi tu wajanja wasije ipiga juu kwa juu
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,747
Likes
17,395
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,747 17,395 280
Hawezi cancel ile order maana zishaliwa 4 bil dollars pale
Ataikubali tu na ataipanda daima
 
realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Messages
3,222
Likes
1,928
Points
280
realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined May 11, 2014
3,222 1,928 280
We kweli Bumunda,US wana ndege za Rais yaani air force one kama 10 hivi. Kwahiyo Trump Ku cancel order ni kawaida tu.

Ulitaka na sisi tu cancel order ya Boeing?
Sasa povu la nini?????
Basamuda amesema ka cancel order tuu we unapiga mayowe,mbona unapenda ugomvi??
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,797
Likes
4,349
Points
280
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,797 4,349 280
Ndege lazima inunuliwe tu hata kama Watanzania Mtakula Majani... Period
 
nra2303

nra2303

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
2,742
Likes
2,242
Points
280
nra2303

nra2303

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
2,742 2,242 280
Trump mzee w amatamko ya kwenye twitter! marekani lazima na wao waisome
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,247
Likes
13,794
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,247 13,794 280
Ninachompendea Trump yupo very straight to the point, hana kumung'unya maneno wala hazunguki mbuyu.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,399
Likes
50,141
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,399 50,141 280
Trump ananichekesha anaovoendesha Marekani kwa twiter.
Hapana.

Haendeshi Marekani kwa Twitter.

Anaitumia tu Twitter kutoa maoni yake kuhusu masuala mbalimbali.

Marekani huendeshwa kwa katiba na sheria zinginezo.
 

Forum statistics

Threads 1,274,136
Members 490,601
Posts 30,502,217