Recent content by bassarere

  1. bassarere

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii mbona iko poa sana tu maybe ukiwa na matarajio yako kichwani ila ukitaka kutazama bila muingiliano wa hizi comment ni series Kali sana
  2. bassarere

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    wanawazidi Spencer na Alexander kwenye 1923
  3. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Hamna kufuga ujinga hapa wewe ni wale mashemeji masikini , unapata wapi muda wa kupishana na shemeji yako kwa friji, pasi unapigaje wewe hakuna mtu wa kazi hapo ndani, bustani shamba boy anafanya nini mpaka shemeji yako aanze kuhangaika na bustani. Wewe ni hauna pesa na mda mwingi upo...
  4. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishakata tamaa na kuoa

    Kwa nionavyo mimi ukiwa serious kutafuta mke kwanza hupati na hata ukipata ndiyo mambo ya leo ndoa kesho talaka... Angalia list ya vyuma vyako unavyogonga lazima kunakuwaga na chuma moja mnaelewana hata kama iko na kasoro zake lakini unakuwa tayari unazijua ko wewe hapo ni kuchekecha ndosi sasa...
  5. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishakata tamaa na kuoa

    Shida Shida ni hapo kwenye kutafuta kiongozi...
  6. bassarere

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

    Hakika boss ila kuna namna ukiwa unatoa 24,000/= nafsi iwe imefunguka na kuridhika na huduma
  7. bassarere

    JamiiForums Tanzania Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    mkubwa sorry, hapa kitu unataka kumaanisha na kutwambia ni kama tuache kupambana na maisha sababu Kuna kifo? adui huwezi jua anatokea wapi na saa ngapi, inabidi tu kujiwekelea fit kila pahali na kila saa juu hata iyo noma ikifika ikupate wewe ulifanya Kila kitu kujilinda. same kwa maisha ya...
  8. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri

    ayo ni majaribu na kuvurugana akili TU. na kusema kweli watu wanao kuletea majaribu kwenye aya maisha ndiyo wachawi wako namba 1. inawezekana huu ni wito wa Mungu kukuepusha na hao watesi
  9. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    naam mkubwa
  10. bassarere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    come on Stu. It was beautiful we climaxed at the same time. shoot my load into you, shoot your load on the floor
  11. bassarere

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    upo sahihi mkuu.
  12. bassarere

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    utashi kama umeitumia kwa kumaanisha akili jibu ni ndiyo nasikiliza kwa utashi wangu
  13. bassarere

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    inawezekana ikawa ni vionjo pia au hata mood ya mtu kwa iyo siku
  14. bassarere

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    sorry mkuu hata nyumbani nikiamua kusikiliza mpira kwa redio kutokana na mood yangu ya siku iyo bado Kuna mtu atakuja kunishangaa kwamba uyu jamaa vipi matelevisio yapo kibao ila jamaa anasikiliza mpira kwa redio??🤔
  15. bassarere

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    sijui ni kwanini umewaza hivi ila kujaa kwa television na mabanda umiza haiezi kuwa sababu ya kujiuliza pia why watu wanasikiliza mpira kwa redio leo. Watu tumetofautiana sana kuanzia tabia,mazoea,mood,kazi,vipato.........
Back
Top Bottom