Nishakata tamaa na kuoa

Nishakata tamaa na kuoa

Mnakuja kusoma mabango watu waliochanga tukiwa ndounataka kuoa
 
Kiv
p mkuu?
Kwa nionavyo mimi ukiwa serious kutafuta mke kwanza hupati na hata ukipata ndiyo mambo ya leo ndoa kesho talaka...
Angalia list ya vyuma vyako unavyogonga lazima kunakuwaga na chuma moja mnaelewana hata kama iko na kasoro zake lakini unakuwa tayari unazijua ko wewe hapo ni kuchekecha ndosi sasa je izo kasoro ntaweza vumilia kama ndiyo chukua chuma chako weka ndani
 
Kama umeshindwa kuoa basi olewa mkuu.

Sio kukata tamaa sema tu nimeshindwa kuoa

Usiogope mambo ni kujaribu.

Samahani ndugu, najua nimekukwaza ila najaribu kufikiria tofauti
 
Uende baharini kutafuta mbuzi,utupe nyavu,upate samaki,kweli uanze kulaumu watu?
Badilisha mawindo yako bana,acha upumbavu
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa

Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
 
SASA TULIO FLOOR HIYO NA HATUNA HATA WAPENZI WANAOELEWEKA TUSEMEJE ???

OMBA MUNGU TUU NA JICHANGANYE MTAAANI MKUU.
 
Back
Top Bottom