Recent content by basiri

  1. basiri

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Bunge kwa Mpina inatoa taswira halisi jinsi gani Bunge na serikali ya Tanzania inavyowaona wananchi

    Wananchi tungekuwa na umoja na mshikamano kwa hili la mpina ndilo tulitakiwa kuandamana mpka bungeni kupinga adhabu hiyo na kuishinikiza serikali kuchunguza tuhuma za wizara ya kilimo na wazari wake Lakini kwakuwa hatuna umoja leo kila mtu ananung'unika kivyake kimoyomoyo Kwa hali hii...
  2. basiri

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Azam wakaenda kujenga uwanja Chamazi? Tunalitia taifa aibu

    Hiyo ndo inafanya mji upanuke Haiwezekani kurundikana sehem moja
  3. basiri

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

    Ila tu tuwe wakweli hii mikopo inayokopwa na serikali naanza kupata doubt huenda ndo hii hii tunayokopeshwa online kwa riba ya asilimia 80 maana kampuni za kukopesha mbona zimekuwa nyingi sana nchini ?
  4. basiri

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka na Kheri James waipinga style anayotumia Makonda ya kusikiliza kero kwa kuzungukwa na media

    Kwenye hiyo mikitano yao kama hakunapo jipya media zitaenda kutafta nn? Paul makonda ana ubunifu hata media zinamfuata maana wanajua watauza
  5. basiri

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Sina mashaka nae Kwanza huenda kashafika mjini toka juziiiii Navyomjua mm yule mwamba haogopi atawataja watu humo mpka waoneane aibu
  6. basiri

    JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Hii simba inatakiwa ibomolewe na ijegwe upya Hakuna wanachojifunza kila uchao yaani wachezaji wameshafika mwisho hawafundishiki hata akija pep gadiola kwa simba hii bado watapigwa nyingi tuu Subiri April 20 kuna goli zaidi ya sabaa kutoka kwa watani zao yanga
  7. basiri

    JamiiForums Tanzania Choo za kulipia Katoro Stand hawatoi risiti pesa haifiki halimashauri

    [emoji1][emoji1][emoji1]tunacheka lakini kitu kikishawekewa utaratibu ni mhimu utaratibu huo ufuatwe maana hicho ni chanzo cha Mapato kwa halimashauri zetu Kumbuka "haba na haba hujaza kibaba" wizi na ufisadi unaanzia hapo
  8. basiri

    JamiiForums Tanzania Choo za kulipia Katoro Stand hawatoi risiti pesa haifiki halimashauri

    Watoza ushuru kwenye choo cha kulipia katika stendi ya katoro wilaya ya geita hawatoi risti kwa wateja hivyo kufanya mapata kuishia mikononi mwa wachache Mapato hayafiki halimashauri Wahusika fuatilieni hili ni zaidi ya mara tatu napita hapa kila siku wanatoa sababu ileile eti mashine ya POS...
  9. basiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu nikifanya maamuzi ya kuishi mwenyewe itakua tatizo?

    Tuwape hongera waliopata wake Kupata mke ni issue moja na kupata mke mwema ni issue nyingne Ukipata mke inatosha huo wema utaupata hata kwa wadada wa kazi Over
  10. basiri

    JamiiForums Tanzania Hepatitis B ugonjwa huu unasambaa kwa kasi na matibabu ni gharama

    Chanjo ni elfu 80 za kitanzania ina chanjo tatu Ya kwanza ni baada ya mwezi mmoja na ya mwisho ni baada ya miezi 6
  11. basiri

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha mkutano wa dharura wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa

    Haaa haaa haaaa ila wewe jamaa unabwebwe za kuombea uchawa ccm
  12. basiri

    JamiiForums Tanzania Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    Mmhhh mbona zuhura yunus alikutoka BBc moja kwa moja kwenda ikulu ? Kwan kunatofauti gani mkuu?
  13. basiri

    JamiiForums Tanzania Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

    Acha makasiriko mkuu
  14. basiri

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnaenda kulewa wakati msiba unaendelea?

    Kifo ni sherehe ya mwisho ya mwanadamu baada ya kuzaliwa na kuoa/kuolewa wacha wana wanywe bia
  15. basiri

    JamiiForums Tanzania Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

    Haaa haaa haaa nilikuwa sehemu serious halafu nimecheka kwa sauti sanaaaa daaaah hii kitu kilikuwa cha ajabu Sanaa
Back
Top Bottom