Choo za kulipia Katoro Stand hawatoi risiti pesa haifiki halimashauri

basiri

Senior Member
Aug 31, 2018
168
149
Watoza ushuru kwenye choo cha kulipia katika stendi ya katoro wilaya ya geita hawatoi risti kwa wateja hivyo kufanya mapata kuishia mikononi mwa wachache
Mapato hayafiki halimashauri

Wahusika fuatilieni hili ni zaidi ya mara tatu napita hapa kila siku wanatoa sababu ileile eti mashine ya POS imeharibika leo ni zaidi ya miezi 4 sasa naiona hii hali.
Screenshot_20240312_174210_Google.jpg
 
Watoza ushuru kwenye choo cha kulipia katika stendi ya katoro wilaya ya geita hawatoi risti kwa wateja hivyo kufanya mapata kuishia mikononi mwa wachache
Mapato hayafiki halimashauri

Wahusika fuatilieni hili ni zaidi ya mara tatu napita hapa kila siku wanatoa sababu ileile eti mashine ya POS imeharibika leo ni zaidi ya miezi 4 sasa naiona hii hali.
View attachment 2932760
Usikute hata maji tiririka huko ndani hakuna,unajaziwa kwenye ndoo na kikombe kichafu.
 
Mwamba unataka risiti mpaka ya mavi yako
tunacheka lakini kitu kikishawekewa utaratibu ni mhimu utaratibu huo ufuatwe maana hicho ni chanzo cha Mapato kwa halimashauri zetu

Kumbuka "haba na haba hujaza kibaba" wizi na ufisadi unaanzia hapo
 
Ni kweli kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom