Recent content by BasilSawewe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya 'ungo' jioni hii

    Yote mliyoyasema yaweza kuwa sahihi pia. Lakini mnachokosea kubishi hapa kwamba watu hawawezi kusafiri kwa ungo. Labda niwaulize, tangu dunia iumbwe hii, hakuna kitu kinaitwa uchawi? Kama ni kuchangia, kwanini tusiuchambue uchawi wenyewe, ili tusiojua tukaweza kuelimika? Unapobishi kavukavu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

    Haujafafanua vizuri. Ili nani ashikishwe ukuta?
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebakwa na wanawake watatu

    Kwani kama wao wanangoma, ukiwafyagia ni lazima uathirike?
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebakwa na wanawake watatu

    Nabakwa na wanawake ninaanza kulialia! Siwezi mie. C wamenipenda? Wote ntawadhibiti nikiwa na akili timamu. Mmoja mmoja ama wote kwa mkupuo. Wao c wahuni bw! Hawakuwa na haja ya kufanya mambo hayo kwa hila. Mtu anasema tu wazi tunamalizana. Ishu ya starehe ad mwanaume ulalamike! Haya, sasa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

    Ahsante sana kwa comment yako mazee. "Nayasapoti" maelezo yako kwa kuwa, kama ni kulinganisha tawala zote kwenye mizani, tangia R.i.p "Mchonga" hadi leo hii, Magufuli yupo juu. Nyerere aliwagwaya wahujumu uchumi, hadi akakodi waziri mkuu R.i.p Sokoine kumwadhibia mafisadi hao. Alikuwa akitaka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Hata hivyo mimi siamini dawati sijui sanduku la malalamiko. Kwakuwa wanaotunza hayo masanduku na "kuyagubua" kuchukua kusoma hayo malalamiko,saazingine ni haohao waliolalamikiwa. Utegemee kesi ya nyani kula mahindi, ishughulikiwe na tumbiri,kutatua kero za kula mahindi kwenye mashamba ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jinsia Mbili(Haemophrodites)

    Usipotoshe umma bila kufanya utafiti wa kutosha. Shemales wanazaliwa. Ikitokea baadae aweza kufanyiwa hiyo surgery akabaki na jinsi moja.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama inakuhusu Naomba ujitokeze

    Siyo kweli. Haliwezi kuja jina bila namba! Vilevile kwanini usipige 100 huduma kwa wateja kwa msada zaid?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukifa kabla hujafanya kosa ulilolipanga kulifanya, je unakosa au unahukumiwa?

    kuna maneno katika sala za kitubio kwa wakristu yasemwayo "nimekosa kwa mawazo,kwa maneno,kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu"……Ukiangalia hapo utaona kuwa, dhambi zinahesabiwa pia kwa mawazo potofu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nani ni jasiri kama DED&RAS Kagera?

    Utaamshwa nakwambia. Wiziwizi awamu hii haunaga cha mjeda wala ndugu mheshimiwa katika kutumbuliwa. Kamuulize Kilango! Tangia enzi za mwalimu, hadi awamu ya 4, hangeweza kufumuliwa "fumu"namna hiyo, kutokana na hadhi ya mmewe katika nchi hii. Badala yake angehamishwa ama,ungepitishwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nani ni jasiri kama DED&RAS Kagera?

    Wapigaji wanachama chao kumbe! Mtoa mada kawashika pabaya'eh! Mbona mmecharuka kwa mambo madogomadogo yanayozungumzika? Kwa hiyo mambo ya watuhumiwa hayazumgumzwi? Kama ni hivyo tungepataje taarifa za mijizi hiyo? Tetea tetetetete! vimbisha misuli ya shingo lakini kumbuka hao jamaa zako...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Rais mwanamke, itakuwaje katika haya?

    Mbona nasikia ni "singeli" ataambatana na nani hata ikiwa?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tengua / Teua za awamu hii zitaisha lini?

    Hauamini kipi? Toa mfano tukuelewe ss.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tengua / Teua za awamu hii zitaisha lini?

    Umenikumbusha kitu, ingawa haukuzingatia uchangiaji kwa kufuata maudhui ya mtoa mada. Hivi kweli wale walioteuliwa na JMK dakika za lalasalama,bado wamekalia nyadhifa zao hizo mpaka leo?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo yanayomfanya Rais Magufuli kuwa wa pekee kuliko watangulizi

    Nyerere alitawala Miaka takribani 25. Mapungufu yake sisi tulioshiba chumvi tunayaelewa. Huyu katawala tunaendea miezi11, dosari zake hatujaziona. Katika kuwapima bila kuangalia ukongwe wa mtu alivyokaa madarakani, basi JPM ni zaidi ya JKN.
Back
Top Bottom