Recent content by bashri

  1. bashri

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Nipo napitia busara za wakubwa 😛
  2. bashri

    Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Kilichobaki kwa simba n kutimiza ratiba tu safari yake imeishia hapa. 😜
  3. bashri

    Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

    Kwa upande wangu Diara ni nyota wa mchezo wa leo
  4. bashri

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kama nakumbuka n Grade Point Average
  5. bashri

    Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    Mleta mada mm ninaombi, kama hutojalai upload baadhi ya vitabu vya anatomy ulivyo navyo
  6. bashri

    Unaenjoy...

  7. bashri

    Hakuna jipya kwenye jezi mpya za simba tizama hapa

    Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro . Na leo wametutambulishia kuwa ni uzi mpya wa simba ajabu kweli
  8. bashri

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Wewe mleta mada fikiria wangelikuwa ndio wazazi wako wamewekwa gerezani miaka 9 Bila ya kusomewa hukumu ya mashtaka yao ungeli furahi? Binafsi yangu nampongeza DPP kwa kuwaachia huru raia wenzetu sababu ushahidi ulikosekana wa kuwatia hatiani Hivyo basi nakushauri hii mada yako ungeli ifuta...
  9. bashri

    Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

    ZBC2 game zote zipo livlive
  10. bashri

    Nahitaji list ya Movie za Magenious

    The good doctor ipo vizuri
  11. bashri

    Ngozi kufubaa na kuwa kavu. Ni mafuta gani mazuri ya kupaka sehemu za baridi?

    Nenda ukanunue mafuta ya mgando ya grace ni mazuri nilikuwa nayatumia pindi nilipokuwa na soma chuo kikuu hapo iringa
  12. bashri

    Ushuhuda wangu: Nilivyotembea na wake za watu

    Aisee unadeni kubwa kaa ukijua kuwa walipaji ni mke wako au binti zako
  13. bashri

    Wakuu msaada wenu kuhusu ujenzi, nimekwama kwenye kuchimba choo kuna maji nifanyeje?

    Mkuu mm naona hilo shimo liboreshe kiwe kisima cha maji, halafu angalia eneo jingine uchimbe choo kabla ya kuchimba tafuta mtu mwenye ujuzi apime kama kuna uwezekano wa kuwepo na maji.
  14. bashri

    Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Mama alisema kwamba ataendeleza yale mema yote aliyoyafanya mwendazake, kwa hiyo yale mabaya ya Magufuli Mama ameshayazika.
Back
Top Bottom