hivi we unajua hesabu kweli we umeambiwa asilimia
we unataja kiasi.hatakama wangekua kumi 90% ni kubwa yaani hapo ni kwamba kama wako mil2 basi mil1.8 ni waislamu .UPO APO
ebu kua muelewa wewe yan unataka kuamn kua kjana wa kitanzania mwenye elimu ya std7 na umri wa miaka 20 anaweza kufanya makosa alioainishwa kwenye kesi yake..tena m2 mwenyewe hana hata exposure yoyote ya kitaifa na hata kimataifa..acha ubshi wa kindez wewe kua mfikirivu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.