Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,609
- 218,033
Tusubiri uthibitisho wa taarifa hizi maana mpaka sasa bado hazijathibitishwa!
endelea kusubiri uambiwe wamejuruhiwa , hawasemi ukweli hao .
Tusubiri uthibitisho wa taarifa hizi maana mpaka sasa bado hazijathibitishwa!
Hali hii inasikitisha. Niliwahi kucomment kwenye thread inayosema JK IWill Hit You. Nilisema kuwa hata kama lolote likitokea, mf. vita, kwa miaka ya leo serikali isitegemee ushirikiano kama ule wa enzi za Vita ya Kagera.
Hii ni habari nzito inayobeba hisia ya nchi ya inaweza pia kuvuruga amani ya nchi maana watu wana ndugu zao na watoto huko sudani kwaiyo si kila tetesi ambayo unaonma inabeba tension ya taifa kwa ujumla uipunch huku.mods futa hii thread till the relevant authourity proves the fact or more supporting evidence is brought hereby.
You are absolutely right!!!Hali hii inasikitisha. Niliwahi kucomment kwenye thread inayosema JK IWill Hit You. Nilisema kuwa hata kama lolote likitokea, mf. vita, kwa miaka ya leo serikali isitegemee ushirikiano kama ule wa enzi za Vita ya Kagera.
Mkuu unapoleta taarifa iwe angalau imekamilika,tuna watoto wetu huko,unataka watu wazimie kwenye keyboard!!!??
Futa kauli au jipange kutupa habari za uhakika. Iweje unaskia alafu iwe News Alert. Toka nje; shuwaiin"!
Hyo ni tetesi hazjathbitika. Tukifanya hivyo kila mtu anazusha yake, basi ujue mantiki wa habari za kweli na uongo hautatofautshwa. Ifke mahal JF iwe ni chanzo cha uhakika wa habari za kweli na uhakika. Na tutafanikiwa kwa kuonyana sisi wenyewe. Au mnapenda ifke mahali habar kabla ya kupostiwa wawe wanazchuja? Tubadlke mkuu. Wengne ndg zetu wapo huko, mtaja tuua kwenye keypad za simu....araaaaagh*"