Recent content by barqis

  1. barqis

    Simba Mtoto ilivyowatibua wasafiri Tanga-Dodoma

    Nawasilisha kwenu wadau wa usafiri wa mabasi hii mada kuhusu Kampuni ya Simba Mtoto kwa safari ya Tanga -Dodoma,wamekuwa sio rafiki wala kuwa na Huduma bora kwa wateja wao,mmoja wapo ni mm nimekata tiketi ya kutoka Tanga kwenda Dodoma ambapo niliambiwa nifike saa 11:30 alfajiri na basi...
  2. barqis

    Tamko la Rais Magufuli juu ya mimba za wanafunzi linapingana na sheria zilizopo

    Wakati mwingine inabidi tu tuwe wakali na kuachana na huu upuuzi wa sheria,ifike pahala kila mzazi awe macho na mtoto wa mwenzake ma kuangalia jamii husika,ukali wa malezi na maadili ufike popote pale katika mazingira hatarishi ya mtoto wa kike na msababishaji pia,no way out naungana na kauli ya...
  3. barqis

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Naona mnatetea sana mimba ziendelee na masomo,ila muwahusishe pia walimu walio na kazi ya kuwafundisha hao wajawazito
  4. barqis

    Kwanini hivi leo usalama wataifa wanajulikana ovyo na si kama enzi za Nyerere

    Hao mnaowajua hovyo sio usalama wa Taifa, shoo ya Taifa,wenyewe orijino wapo hukooo wamejificha lakini wanawaona
  5. barqis

    Kuelekea Eid: Bei ya kuku yafika shilingi 30,000

    Hiyo bei kwani lazima tule kuku?hata samaki kitoweo tu,tukikosa sana tutakula mchicha badala ya kuchuma thawabu mnataka kuchuma dhambi
  6. barqis

    Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

    Mwenye nyumba ya kupangisha Dodoma nahitaji
  7. barqis

    Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

    Mhanga mwenzangu asee hii tafsiri ya kodi nyumba za kupanga ina maumivu yake na hasa ukiwa tayari una familia
  8. barqis

    Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

    Madalali wa Dodoma tu ndio njaa kubwa wanayo,unakuta nyumba inapangishwa kwa shs 200k yeye anataka apangishe kwa 300-250k anakuongezea hicho cha juu anakipiga yeye kama ndiye mwenye nyumba kisa "tension ya kuhamisha makao ya nchi"
  9. barqis

    Ndege ya Shirika la Usafiri wa anga la Eastern China imetua kwa dharura

    hatari sana,yaani kungekuwa na kale ka usemi shuzi limepata mjambaji
  10. barqis

    Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

    Lichukue kama vipi naona ushaanza mambo ya mombasa
Back
Top Bottom