Malengo ya Kizimkazi ni kwamba akiondoka amuachie Urais Mgogo wa Pemba ili kulinda maslahi yake na familia yake , kwamba atampitisha kibabe , Haha nilicheka sana baada ya kusikia huo mpango ndio maana kamchagua Kijana
Nimeshaandika humu kwenye Uzi wa britanicca kuwa Samia lazima ashitakiwe ICC ni suala la Muda tu pia nikaandika DGIS TISS Mr. Mombo naye ATAMALIZWA tu ni suala la muda , USALITI na kuvunja misingi ya Katiba au kuvunja work culture ya Taasisi haijawahi muacha mtu salama
Asante kwa kukazia hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.