Huyu mjinga ataiteleka hii ID kama walivyofanya machawa wa enzi ya jiwe.A.k.a yuda

Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendaloMataqo yako!
Dunia yako wewe ni Mbozi tu. Kuna tofauti kubwa sana mapokezi ya huyu muuaji na mapokezi aliyopewa Captain Ibrahim Traore wa Burkina Fasso.Jaribu kufuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni uone namna Rais wetu alivyoteka Dunia
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali na Mungu ,Usishindane na aliyechaguliwa na Mungu kabla hata hajazaliwa, Usishindane na Mwenye Mungu ndani yake .
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa hakika haijapata kutokea kupata Rais na kiongozi mwenye Ushawishi,kupendwa ,kukubalika na kuungwa mkono nje ya Mipaka ya Taifa letu kama Rais Samia kwa miaka ya hivi karibuni.
Kwa hakika watanzania tunapaswa kupiga magoti na kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia na kumfanya kuzaliwa katika Ardhi yetu.ni bahati kubwa sana kuwa na watu aina ya Rais Samia Maana huwa hawapatikani kila sehemu na wala hawazaliwi kila siku.
Ni nadra sana kuwa nao na inapotokea umekuwa nao na kuwapata huna budi kumshukuru Mungu na kusema asante Mungu kwa zawadi ya Maisha ya Mtu huyu.
Ni katika hali hiyo leo hii Dunia imejikuta ikisimama kwa muda na kusimamisha shughuli za kijamii kushuhudia mapokezi mazito na ya kihistoria yaliyoongozwa moja kwa moja na Rais wa Urussi Viladimini Putin Komandoo na Mwamba kwelikweliiiiiii aliyejikuta akikutana na Mwamba Mwenzake na komandoo wa Vita Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama Wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Warusi wenyewe kila mmoja amejikuta akiwa katika hekaheka za kufuatilia kwa ukaribu zaidi mapokezi hayo ya heshima na kihistoria kutoka kwa Mgeni wa Heshima na Kwenye ushawishi zaidi Duniani kote .
Kwa hakika Watanzania Tembeeni Vifua mbele maana Rais na Mkuu wa Nchi tumepata na tunapaswa kutamba naye bila hofu .Taifa lipo kwenye mikono salama. Laleni hata Milango wazi bila makomeo Maana Nchi ina amani na utulivu chini ya Rais Samia .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3600621
Mimi ni akili kubwa, Mzalendo na msema kweli
Acha utoto mi pepsi kubwa usiniite dogo while nna watoto wakubwa weng akili kuliko ww zuzuSijawahi kuwa zuzu dogo
Sahihi kbs ✔️ 🤣🤣🤣🤣
QmmkUmesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendalo
Anko T , una hekaheka sanaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali na Mungu ,Usishindane na aliyechaguliwa na Mungu kabla hata hajazaliwa, Usishindane na Mwenye Mungu ndani yake .
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa hakika haijapata kutokea kupata Rais na kiongozi mwenye Ushawishi,kupendwa ,kukubalika na kuungwa mkono nje ya Mipaka ya Taifa letu kama Rais Samia kwa miaka ya hivi karibuni.
Kwa hakika watanzania tunapaswa kupiga magoti na kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia na kumfanya kuzaliwa katika Ardhi yetu.ni bahati kubwa sana kuwa na watu aina ya Rais Samia Maana huwa hawapatikani kila sehemu na wala hawazaliwi kila siku.
Ni nadra sana kuwa nao na inapotokea umekuwa nao na kuwapata huna budi kumshukuru Mungu na kusema asante Mungu kwa zawadi ya Maisha ya Mtu huyu.
Ni katika hali hiyo leo hii Dunia imejikuta ikisimama kwa muda na kusimamisha shughuli za kijamii kushuhudia mapokezi mazito na ya kihistoria yaliyoongozwa moja kwa moja na Rais wa Urussi Viladimini Putin Komandoo na Mwamba kwelikweliiiiiii aliyejikuta akikutana na Mwamba Mwenzake na komandoo wa Vita Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama Wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Warusi wenyewe kila mmoja amejikuta akiwa katika hekaheka za kufuatilia kwa ukaribu zaidi mapokezi hayo ya heshima na kihistoria kutoka kwa Mgeni wa Heshima na Kwenye ushawishi zaidi Duniani kote .
Kwa hakika Watanzania Tembeeni Vifua mbele maana Rais na Mkuu wa Nchi tumepata na tunapaswa kutamba naye bila hofu .Taifa lipo kwenye mikono salama. Laleni hata Milango wazi bila makomeo Maana Nchi ina amani na utulivu chini ya Rais Samia .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3600621
Kazi yangu ni kuongea ukweli tu na kuwapa taarifa za ukweli na uhakikaAnko T , una hekaheka sana
Bila shaka itakuwa wewe ni Mgonjwa wa akiliQmmk
Huwezi ukaelewa Maana huna akili dogoDunia yako wewe ni Mbozi tu. Kuna tofauti kubwa sana mapokezi ya huyu muuaji na mapokezi aliyopewa Captain Ibrahim Traore wa Burkina Fasso.
well done president Dr Samia Suluhu Hassan and Vladimir Putin President of Russia,Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali na Mungu ,Usishindane na aliyechaguliwa na Mungu kabla hata hajazaliwa, Usishindane na Mwenye Mungu ndani yake .
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa hakika haijapata kutokea kupata Rais na kiongozi mwenye Ushawishi,kupendwa ,kukubalika na kuungwa mkono nje ya Mipaka ya Taifa letu kama Rais Samia kwa miaka ya hivi karibuni.
Kwa hakika watanzania tunapaswa kupiga magoti na kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia na kumfanya kuzaliwa katika Ardhi yetu.ni bahati kubwa sana kuwa na watu aina ya Rais Samia Maana huwa hawapatikani kila sehemu na wala hawazaliwi kila siku.
Ni nadra sana kuwa nao na inapotokea umekuwa nao na kuwapata huna budi kumshukuru Mungu na kusema asante Mungu kwa zawadi ya Maisha ya Mtu huyu.
Ni katika hali hiyo leo hii Dunia imejikuta ikisimama kwa muda na kusimamisha shughuli za kijamii kushuhudia mapokezi mazito na ya kihistoria yaliyoongozwa moja kwa moja na Rais wa Urussi Viladimini Putin Komandoo na Mwamba kwelikweliiiiiii aliyejikuta akikutana na Mwamba Mwenzake na komandoo wa Vita Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama Wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Warusi wenyewe kila mmoja amejikuta akiwa katika hekaheka za kufuatilia kwa ukaribu zaidi mapokezi hayo ya heshima na kihistoria kutoka kwa Mgeni wa Heshima na Kwenye ushawishi zaidi Duniani kote .
Kwa hakika Watanzania Tembeeni Vifua mbele maana Rais na Mkuu wa Nchi tumepata na tunapaswa kutamba naye bila hofu .Taifa lipo kwenye mikono salama. Laleni hata Milango wazi bila makomeo Maana Nchi ina amani na utulivu chini ya Rais Samia .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3600621
Wewe hilo fuvu la kichwa chako umejaza kinyesi tuHuwezi ukaelewa Maana huna akili dogo
Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe hilo fuvu la kichwa chako umejaza kinyesi tuView attachment 36007539
Wewe uliyejibadili matumizi na kutumika kike ndiye wa kutubu ili usamehewe.Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendalo