Recent content by BARKMEI

  1. B

    Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

    Ndiyo malipo ya mkulu kwa Mbatia alipomwambia azigawe kura za Mdee ili mysweet wake "malaika" ashinde kirahisi.
  2. B

    UDSM walaani mauaji ya raia ARUSHA, wataka Polisi kuchukuliwa hatua

    Kimojawapo ni UDOM Na Kilijengwa msimu wa ujenzi wa shule za kata kwa ajili ya wanafunzi wa shule za kata walimu wake ni wa voda fasta na wanafunzi wanalia ukata Ulishaona wapi chuo ambacho kinagoma wengine hawagomi? Nendeni hizo COLLEGE nyingine mwachape viboko!!!!!
  3. B

    UDSM walaani mauaji ya raia ARUSHA, wataka Polisi kuchukuliwa hatua

    VYUO VYA KATA VINAJULIKANA, Wanafunzi wake hawana fikra wanasubiri kujipendekeza kwa mkwere na masalia yake. wakizani ni suluhisho la kupata mikopo, maji au taaluma. I HATE THEM SOOOO! MUCH
  4. B

    Mwanza wamtaka Kikwete ajiuzulu

    HUYU MKWERE AJIUZULU!!!! ametuletea matatizo mengi sana. udini dowans mgao wa umeme mfumuko wa bei ufisadi na kuwalinda mafisadi migomo vyuo vikuu (shemeji ) trl kufa atcl kufa huduma mbovu za afya kushindwa kuajiri walimu kuua raia kwa amri za kisiasa
  5. B

    CHADEMA kutoa tamko rasmi kuhusu mauaji ya raia ARUSHA.

    Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA asema chama kinatarajia kutoa tamko rasmi la kulaani mauaji ya raia yaliyofanywa na jeshi la polisi katika maandamano ya chama hicho mkoani ARUSHA. Pia amewataka wanaARUSHA kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya NMC kuaga miili ya...
  6. B

    UDSM walaani mauaji ya raia ARUSHA, wataka Polisi kuchukuliwa hatua

    wanafunzi wa MLIMANI wamelaani mauai ya raia mkoani Arusha yaliyofanywa na Polisi na kuitaka serikali kufikisha polisi hao katika vyombo vya sheria. ITV HABARI-20:00
  7. B

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    [QUOTE=MIRADIBUBU =Ninawasiwasi na jinsi yako hebu jiangalie vizuri. Udom inajitegemea na ina mambo yake sisiem mkubwa wewe HIVI miradibubu si hihi*2 wanayoifanya dada zetu ohio street!! wewe umeingia humu JF ILI KUKISAFISHA HIKI CHUO CHA KATA. Nakusihi hakisafishiki kwa kujaza POSTS...
  8. B

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    Uko sawa mkuu TAHLISO tulishaisulubu miaka ile 2008/ tukiwa huko BIG UP wana UDSM msiwe kama UDOM chuo cha KATA wanalalamiiiiiiiika bila kufanya ya msingi kama hayo. Alafu hii staili yao ya kulalamika humu JF huwa siipendi!
  9. B

    Maandamano ya CHADEMA kesho yasitishwa ghafla na IGP baada ya awali kukubalika

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema ametangaza kusitisha maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendelieo CHADEMA yaliyokua yaongozwe na FREEMAN MBOWE na DR WILBROAD SLAA kwa kile alichokieleza kua ni taarifa za kiinteligensia kwamba kutakua na uvunjifu wa amani. KWENU WADAU
  10. B

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Rweye lazima mseme hivyo ili msimkere, Hivi ikulu sasa imetuona sisi wanasesere, Au kuona wananchi kama ngoma ya segere, Kucheza utacheza bila hata kwenda Makerere, Na kutapatapa kwa kauli kumtetea mkwere!!! Mmiliki wa DOWANS ndio kauli tunayoitaka.
  11. B

    Walimu 16,000 wa sec wakosa ajira hadi sasa

    Kweli mkuu, kuna kampuni rafiki yangu anafanya kazi walimu wanne wa SHAHADA wameajiriwa na wenyewe wanasema hawafikirihi kuacha tena endapo ajira zao zikitajwa kwani allowance zilizopo zimewalewesha. Hivi kwanini serikali mmeamua kuwakosesha ajira watu waliosomea kazi hiyo (MARKETING)? (wapo...
  12. B

    Walimu 16,000 wa sec wakosa ajira hadi sasa

    Kweli mkuu, kuna kampuni rafiki yangu anafanya kazi walimu wanne wa SHAHADA wameajiriwa na wenyewe wanasema hawafikirihi kuacha tena endapo ajira zao zikitajwa kwani allowance zilizopo zimewalewesha. Hivi kwanini serikali mmeamua kuwakosesha ajira watu waliosomea kazi hiyo (MARKETING)? (wapo...
  13. B

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    QUOTE=muhadhiri;1435854]mimi kama muhadhiri chuo kikuu siamini kama kuna kitu kama hicho, labda ni msaada tu kwa wanawake ili wajikomboe kielimu[/QUOTE MUHADHIRI Napata shida sana na uhadhiri wako ili hali unatuharibia lugha yetu, kama utaendelea kujiita MUHADHIRI sawa ila si uingize...
  14. B

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Wadau huo ni ukweli mtupu na ni kupitia mfuko wa mama SALMA jk kupitia TACAIDS ambao unalengo la kuwaendeleza waathirika wa UKIMWI ili waweze kujikimu kimaisha. MIMI nikiwa nasoma demu wangu alikuwa ananiambia sana kuhusu hilo akisisitiza ni siri sana, kwamba ameambiwa na WADENI ambaye alikua...
Back
Top Bottom