Recent content by Barindogo

  1. B

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Umeisahau Tegeta high school ya toka mwaka 1985 kuliko hata Feza ulioitaja.
  2. B

    Hoja za Prof. Luoga zilivyozima makali ya Barrick kwenye majadiliano ya mkataba na kodi

    Hongera sana prof Luoga hiyo ndiyo dhana ya elimu ukiwa na hoja madhubuti hakuna haja ya jazba taaratibu tutawanyosha tu.
  3. B

    Natafuta kazi ya kuwa Kondakta kwenye magari ya usafiri

    Mimi natafuta mtu mwenye gari ya daladala kutoka tegeta kwenda ubungo au makumbusho,au kariakoo naahidi kumuonesha ndugu zangu wote ambao watakuwa tayari kuulizwa ikiwa kuna lolote litakaloharibika ili kumpa imani na chombo chake.
  4. B

    Wafanyakazi wawili wanahitajika; Kazi ni kuwapikia chakula mafundi site

    Acheni ubaguzi kwani mwanaume hawezi kuwapikia.
  5. B

    Nyumba inauzwa chanika

    Mkuu chukua millioni nne chapuchapu kule shamba sana huwezi pata nyumba ya vyumba viwili kwa hiyo bei kama upo tayari chapu nitafute kwa no 0715378687
  6. B

    Natafuta tuition ya kufundisha mwezi wa 12

    Na mie niunganishe natafuta kazi ya kufundisha masomo ninayofundisha ni kiswahili na Geography uzoefu mkubwa ukiwa somo la kiswahili, kwani nimelifundisha kwa miezi takribani minne na kuacha kazi baada ya kutokulipwa na kuuliza kuhusu posho yetu ndipo tukafukuzwa walimu 8 kati ya 9 kwa hiyo...
  7. B

    Tujenge shule yetu, walimu 10 wanahitajika

    Basi inapendeza but pia million m 2.5 kuipata kwa watoto wa mama ntilie sidhani kama ni rahisi sana kwanini tusijigroup tukaandika proposal tukaingia kuomba hela hiyo kwenye taasisi tukianzisha wao,wawe kama sehemu ya wamiliki kwa muda mpaka pesa yao na riba yao itakapokamilika.ndipo waondoke...
  8. B

    Tujenge shule yetu, walimu 10 wanahitajika

    Hapo inabidi utafiti juu ya mkoa wa kujenga ambao una mwamko wa kusoma na wenye vipato vya kusomesha watoto mfano Tabora sio sehemu nzuri kwa kuwa watu wake ni maskini na hawana mwamko wa kuwapeleka watoto shule napendekeza mkoa wa Kilimanjaro lakini angalizo kumbuka unapaswa uwe na kibali cha...
  9. B

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Tafuta pesa hautatongoza utatongozwa ww utakuwa ni kutengewa penalty unatwanga ndani.
  10. B

    Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Cha kufanya ww kama unaweza mwambie huyo mwanamke huwezi kufanya hivyo maana unajua uchungu wa mtu kuliwa mke wake na umwambie nataka nimtafutie kazi ili waendelee kufurahia maisha kama walivyokuwa zamani.
  11. B

    Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    Matamko ni kweli alisema hakuchaguliwa kuongeza mishahara sasa watu walishindwa kunyambua anazungumzia wote au madiwani maana analisema hilo na kweli watu wanalia wakisema hawajaongezewa mishahara usikute hizo ni figure zinatajwa tu kwenye makaratasi halafu zinasemwa zimeshalipwa kama unataka...
Back
Top Bottom