Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

Hakupendi kapenda hizo pesa zako unazomsaidia achana na mke wa mtu mkuu hata akulilie mume wake hampi huduma usimsaidie na usikute muongo anahudumiwa vizuri tu sababu ameshapata kwenye pesa za bure lazima aongee uongo na kujitilisha huruma
 
Nikukumbushe tu kuwa
1. Mke wa mtu sumu
2. Anamnanga mumewe kwa sababu amefulia
3. Ukimchukua na wewe ukija kufulia atakukimbia
4. Anazitaka pesa zako syo wewe.

Suluhisho:
Badili namba ya simu kata mawasiliano uendelee na mambo binafsi, vingnevyo unakaribisha matatizo na laana.
Mkuu kubadili Namba umefika mbali,kwani akigoma kumsaidia na akampiga mkwara Wa kutosha unafikiri hyu mwanamke utakua na moyo Wa kuendelea? Tatizo labda jamaa ataki kua nae mbali kwakua alimpendaga kabla
 
Mkuu nimeupenda.ustaarabu wako huu.kwamba unamsaidia huyo dada kwa kwa moyo wa dhati siyo kwamba kuna agenda ingine.kuepuka kuharibu msimamo wako ni bora umwambie huyo dada kwamba umesafiri kwenda kijiji kwenu kuna issue za kifamilia umeenda kutatua.halafu baadaye mwambie financialy ume tikisika.kwa sababu wanawake wana mitego yao smart sana.Otherwise uwe nawe pia network zako ni zile za shakewell before use.
 
Habari zenu ndugu,

Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikuja humu JF kuomba ushauri katika jambo lililonitatiza kwa wakati ule na kweli wana JF walinishauri na ushauri ulinisaidia na kwa sasa niko poa.

Leo nimekuja tena na jambo hili linalonitatiza naomba ushauri wenu nifanyeje!

Kuna binti nilisoma nae O-level miaka kadhaa iliyopita na tukapotezana kwa miaka mingi lakini kwa vile milima haikutani ila binadamu hukutana basi tulikutana miezi kadhaa liopita kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi.

Ki ukweli kwa vile tulipotezana miaka mingi hata hatukua na mawasiliano hivyo tulipokutana tulifurahi sana kwa vile tulikua marafiki sana enzi za O-level na nakumbuka nilimtongoza kipindi kile akanikataa kabisa hivyo tukawa ni marafiki wa kawaida tu, baada ya kumaliza O-level tulikua katika contact ila baada ya miaka kadhaa kupita akawa hapatikani kwenye namba yake na mimi kuna wakati ilifikia nikabadili namba hivyo tukawa tumepotezana rasmi! Hivyo baada ya kukutana tulifurahi tukakumbushana enzi zile na kuelezana our current situation kisha tukabadilishana namba. Moja ya vitu alivyoniambia ni kua kwa sasa keshaolewa na ana mtoto mmoja. Basi nikampa hongera kisha tukaachana siku ikapita.

Siku iliyofuata alianza kunichatisha akiniulizia mke wangu na watoto, nikamjibu ki ukweli bado sijabarikiwa kuoa ila nilikua na mchumba aliyenisaliti sana na nimeachana nae si kitambo sana hivyo kwa sasa bado sijaingia tena kwenye commited relaltionship. So tukachati ila kilichonishangaza akaniambia anahitaji tuonane sehemu tuongee zaidi basi na mimi nikamkubalia.

Jioni tukakutana kwenye hoteli fulani aliyoipendekeza yeye, tuliongea mengi ila akaniweka wazi kua mambo yake kiuchumi si mazuri kama nina weza kumsaidia apate kazi atashukuru sana, na mimi nikamwambia nitajitahidi, basi tukaachana siku ikapita. Ila kuanzia siku hiyo akawa ananichatisha sana na simu kila mara, mara anakumbushia nilivyomtongoza akanikataa na kusema ule ulikua utoto n.k. basi tunacheka na kutaniana.

Kuna siku akaniambia ana shida na nimkopeshe kiasi flani cha hela, basi na mimi kwa vile nilikua nayo nikampatia. baada ya siku kadhaa kupita akaniambia tena kua amekwama nimsaidie kiasi fulani cha hela, kumbuka hapa lugha haikua nimkopeshe hapa alisema anaomba, basi na mimi nikatoa kwa vile nilkua nacho. Siku zikapita akaanza kunisimulia matatizo ya mumewe sasa mimi kama mwanaume sikupendezwa na hilo nikamwambia unaponiambia kua mumeo haudumii familia ni kumdhalilisha so usimfanyie hivyo but akawa hajali, sasa mara akaanza kuniomba hela za salon, mara mtoto wake amepungukiwa ada nimsaidie basi mimi nikawa natoa ninapoweza kwa upendo tu.

Ila sasa nikaanza kujisikia vibaya kwa sababu mda mwangine ananiambia dhahiri jinsi anavyomchukia mumewe na kila udhaifu wa mumewe anaumweka bayana na hadi mda mwingine ananiomba hela ya matumizi nyumbani. Sasa kuna siku nimemwambia mumeo hua hakuulizi unatoa wapi fedha hizi, akajibu kua hawezi kumuuliza coz anajua kua anajishughulisha na vikoba.

Sasa kilichofanya niandike uzi huu ni kwamba huyu binti amenitamkia kabisa kua anataka aachane na mumewe ili awe ana mimi, nikamuuliza kwanini ufanye hivyo? akajibu eti jamaa hawezi kumhudumia yeye na mtoto wake! nimejisikia vibaya sana kwani mimi nimekua nikimsaidia kwa upendo kama rafiki ila kwa sasa amekua akiniomba hela kama vile mimi mumewe na kunitaka kimapenzi.

Kwa jinsi nilivyosalitiwa najua ni jinsi gani inauma mke wako kuliwa na mtu mwingine, na hapa nikiangalia kigezo kikubwa kwanini huyu binti anafanya hivyo ni kwa sababu jamaa ana hali ngumu kimaisha.

Hivyo naomba ushauri wenu maana nimetamani kukata mawasiliano nae ila kuna siku kanipigia simu kua mtoto wake anaumwa sana yuko hospital but amepata changamoto ya fedha, ikabidi niende hospital kuhakiki nikawakuta kweli, na mtoto alikua amedhoofu sana, ikabidi nimsaidie.

Sasa nawaza nikiendelea kumsaidia anakua ananitaka niwe nae kimapenzi na nikisema nikate msaada nakua namuonea huruma mtoto, na ki ukweli jamaa ambae ni mumewe yupo katika wakati mgumu sana coz amepoteza ajira yake na bado hajapata ajira.

Je nifanyeje? Maana sitaki kumlia jamaa mke wake, but as long as naendelea kuwasiliana na huyu mwanamke ni kwamba anafanya mazingira ya mimi kua kama mume wake na anaushawishi mkubwa ki ukweli maana ni mrembo sana.

Asanteni.[/
Nakushairi mkanyage mara moja umuache
 
Cha kufanya ww kama unaweza mwambie huyo mwanamke huwezi kufanya hivyo maana unajua uchungu wa mtu kuliwa mke wake na umwambie nataka nimtafutie kazi ili waendelee kufurahia maisha kama walivyokuwa zamani.
 
Mwanaume Wa siku hizi bana,unaoaje mke Wa MTU.mnapenda vya kunyonga sana
 
Ukiendelea kuwasiliana nae atakufikisha pabaya Mwambie amvumilie mme wake ayo madhaifu kila mtu anayo upendo uvumilivu
 
Mkuu kama unataka kumsaidia haswa huyo rafiki-mitego. Mpe mtaji apiganie maisha ya familia yake. Akiwa mpumbavu atakula mtaji na akiwa mwerevu ataiinua familia na atakushukuru.

Tahadhari ni kuwa shida haziishi hivyo kutoa fedha ukidhani atamaliza matatizo si sahihi sana.
 
Habari zenu ndugu,

Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikuja humu JF kuomba ushauri katika jambo lililonitatiza kwa wakati ule na kweli wana JF walinishauri na ushauri ulinisaidia na kwa sasa niko poa.

Leo nimekuja tena na jambo hili linalonitatiza naomba ushauri wenu nifanyeje!

Kuna binti nilisoma nae O-level miaka kadhaa iliyopita na tukapotezana kwa miaka mingi lakini kwa vile milima haikutani ila binadamu hukutana basi tulikutana miezi kadhaa liopita kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi.

Ki ukweli kwa vile tulipotezana miaka mingi hata hatukua na mawasiliano hivyo tulipokutana tulifurahi sana kwa vile tulikua marafiki sana enzi za O-level na nakumbuka nilimtongoza kipindi kile akanikataa kabisa hivyo tukawa ni marafiki wa kawaida tu, baada ya kumaliza O-level tulikua katika contact ila baada ya miaka kadhaa kupita akawa hapatikani kwenye namba yake na mimi kuna wakati ilifikia nikabadili namba hivyo tukawa tumepotezana rasmi! Hivyo baada ya kukutana tulifurahi tukakumbushana enzi zile na kuelezana our current situation kisha tukabadilishana namba. Moja ya vitu alivyoniambia ni kua kwa sasa keshaolewa na ana mtoto mmoja. Basi nikampa hongera kisha tukaachana siku ikapita.

Siku iliyofuata alianza kunichatisha akiniulizia mke wangu na watoto, nikamjibu ki ukweli bado sijabarikiwa kuoa ila nilikua na mchumba aliyenisaliti sana na nimeachana nae si kitambo sana hivyo kwa sasa bado sijaingia tena kwenye commited relaltionship. So tukachati ila kilichonishangaza akaniambia anahitaji tuonane sehemu tuongee zaidi basi na mimi nikamkubalia.

Jioni tukakutana kwenye hoteli fulani aliyoipendekeza yeye, tuliongea mengi ila akaniweka wazi kua mambo yake kiuchumi si mazuri kama nina weza kumsaidia apate kazi atashukuru sana, na mimi nikamwambia nitajitahidi, basi tukaachana siku ikapita. Ila kuanzia siku hiyo akawa ananichatisha sana na simu kila mara, mara anakumbushia nilivyomtongoza akanikataa na kusema ule ulikua utoto n.k. basi tunacheka na kutaniana.

Kuna siku akaniambia ana shida na nimkopeshe kiasi flani cha hela, basi na mimi kwa vile nilikua nayo nikampatia. baada ya siku kadhaa kupita akaniambia tena kua amekwama nimsaidie kiasi fulani cha hela, kumbuka hapa lugha haikua nimkopeshe hapa alisema anaomba, basi na mimi nikatoa kwa vile nilkua nacho. Siku zikapita akaanza kunisimulia matatizo ya mumewe sasa mimi kama mwanaume sikupendezwa na hilo nikamwambia unaponiambia kua mumeo haudumii familia ni kumdhalilisha so usimfanyie hivyo but akawa hajali, sasa mara akaanza kuniomba hela za salon, mara mtoto wake amepungukiwa ada nimsaidie basi mimi nikawa natoa ninapoweza kwa upendo tu.

Ila sasa nikaanza kujisikia vibaya kwa sababu mda mwangine ananiambia dhahiri jinsi anavyomchukia mumewe na kila udhaifu wa mumewe anaumweka bayana na hadi mda mwingine ananiomba hela ya matumizi nyumbani. Sasa kuna siku nimemwambia mumeo hua hakuulizi unatoa wapi fedha hizi, akajibu kua hawezi kumuuliza coz anajua kua anajishughulisha na vikoba.

Sasa kilichofanya niandike uzi huu ni kwamba huyu binti amenitamkia kabisa kua anataka aachane na mumewe ili awe ana mimi, nikamuuliza kwanini ufanye hivyo? akajibu eti jamaa hawezi kumhudumia yeye na mtoto wake! nimejisikia vibaya sana kwani mimi nimekua nikimsaidia kwa upendo kama rafiki ila kwa sasa amekua akiniomba hela kama vile mimi mumewe na kunitaka kimapenzi.

Kwa jinsi nilivyosalitiwa najua ni jinsi gani inauma mke wako kuliwa na mtu mwingine, na hapa nikiangalia kigezo kikubwa kwanini huyu binti anafanya hivyo ni kwa sababu jamaa ana hali ngumu kimaisha.

Hivyo naomba ushauri wenu maana nimetamani kukata mawasiliano nae ila kuna siku kanipigia simu kua mtoto wake anaumwa sana yuko hospital but amepata changamoto ya fedha, ikabidi niende hospital kuhakiki nikawakuta kweli, na mtoto alikua amedhoofu sana, ikabidi nimsaidie.

Sasa nawaza nikiendelea kumsaidia anakua ananitaka niwe nae kimapenzi na nikisema nikate msaada nakua namuonea huruma mtoto, na ki ukweli jamaa ambae ni mumewe yupo katika wakati mgumu sana coz amepoteza ajira yake na bado hajapata ajira.

Je nifanyeje? Maana sitaki kumlia jamaa mke wake, but as long as naendelea kuwasiliana na huyu mwanamke ni kwamba anafanya mazingira ya mimi kua kama mume wake na anaushawishi mkubwa ki ukweli maana ni mrembo sana.

Asanteni.

Sahau urembo wake mkuu,she is just another woman.My advice to you is achana naye,huyo dada sio mtu mwaminifu,ni malaya na opportunistic.After all she is another persons' wife.Usipoteze muda wako na fedha kwa kitu ambacho hakina matunda,huyo sio mtu mzuri kwako,anataka akuingize kwenye presently unforseen problems.She just wants your money.Si alikukataa mlipokuwa shuleni huyo,eti ulikuwa utoto,no,she is an opportunist.She just wants your money.Kata mawasiliano naye and concentrate on your more important issues.Anataka akuingize kwenye uzinifu usio na maana bure.
 
Mkuu kumbuka kipindi kile mpo shule alikukataa kwa kuwa hukuwa na chochote.
Usifikiri sasa hivi anakupenda wewe, anapenda pesa zako tu kwa kuwa unazo.

KIMBIA
 
Habari zenu ndugu,

Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikuja humu JF kuomba ushauri katika jambo lililonitatiza kwa wakati ule na kweli wana JF walinishauri na ushauri ulinisaidia na kwa sasa niko poa.

Leo nimekuja tena na jambo hili linalonitatiza naomba ushauri wenu nifanyeje!

Kuna binti nilisoma nae O-level miaka kadhaa iliyopita na tukapotezana kwa miaka mingi lakini kwa vile milima haikutani ila binadamu hukutana basi tulikutana miezi kadhaa liopita kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi.

Ki ukweli kwa vile tulipotezana miaka mingi hata hatukua na mawasiliano hivyo tulipokutana tulifurahi sana kwa vile tulikua marafiki sana enzi za O-level na nakumbuka nilimtongoza kipindi kile akanikataa kabisa hivyo tukawa ni marafiki wa kawaida tu, baada ya kumaliza O-level tulikua katika contact ila baada ya miaka kadhaa kupita akawa hapatikani kwenye namba yake na mimi kuna wakati ilifikia nikabadili namba hivyo tukawa tumepotezana rasmi! Hivyo baada ya kukutana tulifurahi tukakumbushana enzi zile na kuelezana our current situation kisha tukabadilishana namba. Moja ya vitu alivyoniambia ni kua kwa sasa keshaolewa na ana mtoto mmoja. Basi nikampa hongera kisha tukaachana siku ikapita.

Siku iliyofuata alianza kunichatisha akiniulizia mke wangu na watoto, nikamjibu ki ukweli bado sijabarikiwa kuoa ila nilikua na mchumba aliyenisaliti sana na nimeachana nae si kitambo sana hivyo kwa sasa bado sijaingia tena kwenye commited relaltionship. So tukachati ila kilichonishangaza akaniambia anahitaji tuonane sehemu tuongee zaidi basi na mimi nikamkubalia.

Jioni tukakutana kwenye hoteli fulani aliyoipendekeza yeye, tuliongea mengi ila akaniweka wazi kua mambo yake kiuchumi si mazuri kama nina weza kumsaidia apate kazi atashukuru sana, na mimi nikamwambia nitajitahidi, basi tukaachana siku ikapita. Ila kuanzia siku hiyo akawa ananichatisha sana na simu kila mara, mara anakumbushia nilivyomtongoza akanikataa na kusema ule ulikua utoto n.k. basi tunacheka na kutaniana.

Kuna siku akaniambia ana shida na nimkopeshe kiasi flani cha hela, basi na mimi kwa vile nilikua nayo nikampatia. baada ya siku kadhaa kupita akaniambia tena kua amekwama nimsaidie kiasi fulani cha hela, kumbuka hapa lugha haikua nimkopeshe hapa alisema anaomba, basi na mimi nikatoa kwa vile nilkua nacho. Siku zikapita akaanza kunisimulia matatizo ya mumewe sasa mimi kama mwanaume sikupendezwa na hilo nikamwambia unaponiambia kua mumeo haudumii familia ni kumdhalilisha so usimfanyie hivyo but akawa hajali, sasa mara akaanza kuniomba hela za salon, mara mtoto wake amepungukiwa ada nimsaidie basi mimi nikawa natoa ninapoweza kwa upendo tu.

Ila sasa nikaanza kujisikia vibaya kwa sababu mda mwangine ananiambia dhahiri jinsi anavyomchukia mumewe na kila udhaifu wa mumewe anaumweka bayana na hadi mda mwingine ananiomba hela ya matumizi nyumbani. Sasa kuna siku nimemwambia mumeo hua hakuulizi unatoa wapi fedha hizi, akajibu kua hawezi kumuuliza coz anajua kua anajishughulisha na vikoba.

Sasa kilichofanya niandike uzi huu ni kwamba huyu binti amenitamkia kabisa kua anataka aachane na mumewe ili awe ana mimi, nikamuuliza kwanini ufanye hivyo? akajibu eti jamaa hawezi kumhudumia yeye na mtoto wake! nimejisikia vibaya sana kwani mimi nimekua nikimsaidia kwa upendo kama rafiki ila kwa sasa amekua akiniomba hela kama vile mimi mumewe na kunitaka kimapenzi.

Kwa jinsi nilivyosalitiwa najua ni jinsi gani inauma mke wako kuliwa na mtu mwingine, na hapa nikiangalia kigezo kikubwa kwanini huyu binti anafanya hivyo ni kwa sababu jamaa ana hali ngumu kimaisha.

Hivyo naomba ushauri wenu maana nimetamani kukata mawasiliano nae ila kuna siku kanipigia simu kua mtoto wake anaumwa sana yuko hospital but amepata changamoto ya fedha, ikabidi niende hospital kuhakiki nikawakuta kweli, na mtoto alikua amedhoofu sana, ikabidi nimsaidie.

Sasa nawaza nikiendelea kumsaidia anakua ananitaka niwe nae kimapenzi na nikisema nikate msaada nakua namuonea huruma mtoto, na ki ukweli jamaa ambae ni mumewe yupo katika wakati mgumu sana coz amepoteza ajira yake na bado hajapata ajira.

Je nifanyeje? Maana sitaki kumlia jamaa mke wake, but as long as naendelea kuwasiliana na huyu mwanamke ni kwamba anafanya mazingira ya mimi kua kama mume wake na anaushawishi mkubwa ki ukweli maana ni mrembo sana.

Asanteni.
Hilo bomu la north Korea usipohama eneo hilo ukifika muda wa kulipuka kusalimika ni majaliwa. Kimbia upesi kaa mbali
 
Andaa KY jelly muda wako wa kutatuliwa marinda umekaribia
 
Ndo maana Sinaga mazoea sana na wanawake nisiokuwa na mpango nao we mpaka mtu anaanza kkusimulia mambo ya n yumbani kwake amekua dadaako badilika bwana hili swala halihitaji ushauri kama humtaki achana naye kama ndo unamtaka ila unaogpa apo ndo useme usaidiwe japo sikushauri kuoa mke wa mtu aliyemkataa mmewe sababu ya khali ya kiuchumi mambo yanabadilika
 
kila jaribu linalompata wanadamu mungu anajua mtu wakumsaidia hilo ni jaribu kweli mmewe hana kazi naamin mmew angekua vzr kiuchumi asingekuzoea ila kama mungu kakupa uwezo kifedha unaweza kumsaidia huyo mama mtaji ajisbughulishe after hapo mfungie tinted apambane na familia yake ila huyo mama hana upendo wa dhati kwa mmewe anaendeshwa na tamàa aisee jiepushe nae
 
Kwanza mke mwema mtu hupewa na Bwana
Huyu tayari si mke mwema kwani bwana keshampa Mume wewe endelea kutaguta na kuomba Mungu akupe mke mwema na usiendelee na mazoea na huyu mama atakuingiza kwenye matatizo makubwa sana kuliko yale ya kwanza.
Pia jitahidi nawe kuwa mume mwema na si kufanya wema kwa wake za watu bali wema wako huo peleka kwenye wituo vya watoto tatima si kwa wake za watu.
 
Wema usizidi uwezo, Biblia ina sema kila jambo liwe na kiasi .

Unajitafutia matatizo tu ndg yangu
 
  • Thanks
Reactions: CTX
inaonyesha na wewe kama unamtaka vile, biblia yenyewe inasema wema wenu uwe na kiasi, umemsaidia vya kutosha, jaribu kumkwepa na kumbuka tayari ni mke wa mtu, huo upole wako, na ukichanganya na sisi wanaume tuna udhaifu katika mazingira flani ya hawa dada zetu,siku akikutega unanaswa kweli,utajikuta umetembea naye.
 
Ni rahisi sana kuhudumia mwanamke amabd hauishi nae kwa sababu inakuwa mara moja moja...

Changamtoto zinakuja ukimuweka ndani, anahitaji matunzo kila dakika...

Kaa mbali na mke wa mtu, kwanza siyo vizuri, huduma zako za msimu zikaharibu ndoa ya watu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom