Recent content by barige

  1. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    SURA YA SABA II Neema aliposhutuka kutoka katika usingizi mzito, alijikuta amelala kitandani akiwa uchi, kando Proper alikuwa amemkumbatia kwa mkono mmoja huku mkono mwingine ukizichezea chuchu zake. Lakini pia ulimi wa Proper ulikuwa katika kinywa cha Neema. Neema alishituka na kujivuta kando...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    SALAMU KUTOKA KUZIMU SURA YA SABA Proper alikuwa ameketi katika chumba chake cha kusomea aliposikia kengere ya mlango ikilia akashituka. Akainua kichwa kwa mshangao. Hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kugongewa mlango akiwa chumbani. Majirani zake walifanya ujirani wao wote nje. Rafiki zake...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Mzigo huo wakuu Big up Ntamaholo, kudi kudi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    SALAMU KUTOKA KUZIMU SURA YA SITA II Usiku ulipoingia ulimkuta Neema akiwa bado kaduwaa pale pale alipokuwa. Alikuwa hajatia chochote mdomoni ingawa jirani zake walimfuata mara kadhaa wakimshawishi kula. Aliinuka na kuwasha taa ya umeme. Wakati wa kulala ulipowadia, alijilaza kitandani kama...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Thanks brother
  6. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Mbona tutarudi na roho zetu tiyari mkuu ibra87
  7. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Saturday, December 12, 2015 Maseypr kwa 9:06 AM SALAMU KUTOKA KUZIMU SURA YA TANO II Unono, huyu alikuwa mwanamke wa makamo, mfupi kiasi, mnene wa kutosha, mweusi kupindukia, mama huyu alikuwa mmoja kati ya watu wengi walioshuhudia ajali hii ya mtu kuuawa kwa bomu. Mama huyu alikuwa miongoni mwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    ion Saturday, December 12, 2015 Maseypr kwa 9:06 AM
  9. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Thanks mkuu ntamalo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Thanks mkuu ntamaholo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Andika salamu kutoka kuzimu by Ben
  12. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    Unaweza pitia google scholar huko utapata kusoma baadhi ya chapter za kitabu hiki
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masimulizi: Beyond Pain

    Tupia email
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masimulizi: Beyond Pain

    Kama unataka hiyo simulizi tembelea website ya masimulizi, utaweza kuisoma yote mpaka mwisho. Ipo katika mfumo wa pdf
  15. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

    Poa mkuu
Back
Top Bottom