Yaani uraia pacha hamtaki kuwapa halafu kwenye kusaidia Hospitali watu kulala chini mnawatafuta. Hao ni raia wa kigeni kama wazungu tu ni mpk pale mtakapowatambua na uraia wao halisi wa kuzaliwa. Sio hicho kiini macho cha Special Status.
Jamaa anahoji maswali ya msingi. Kwa sababu tumekuwa kizazi cha ufisadi na kuona kuwa Raisi wa nchi ni mfalme yuko juu ya kila kitu, ndiyo maana tunaona sawa. Kugawa pesa barabarani, kutoa pesa kwa magoli ya mpira kwa vilabu binafsi. Kusema mheshimiwa Rais katoa pesa hii kujenga mradi huu. Hii...
Huyu naye ndo anaendeleza ujinga wa mtoa hoja. Yaani mzungu kama angekuwa na nia ya kutupunguza anaweza kwa kiasi kikubwa. Dawa karibu zote za mahospitali tunapewa na wao, chanjo za polio, chanjo karibu zote za watoto wadogo wanatoa wazungu, dawa za HIV zote wanatoa wao tena bure. Sasa kama ana...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana.
Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK.
Kwa kuwa mtaji...
Hivi mkuu kwa akili yako kweli unakuta watu wamejikalia zao wanakula kunywa na maongezi yao, wewe unakwenda kujoin huwajui hawakujui kweli huo mi ustaarabu kweli. Huo pia unaita ubaguzi? Embu jaribu hata hapa bongo uone watu watakuchukuliaje.
Yaan ww badala ya kuanzisha uzi wenye manufaa kwako ama kwa watu wengine unatafuta nani ana followers wengi insta ? Ok ushajua sasa Diamond anaongoza wengine wafuata then what?
Hii habari haiko balanced.
Tunatoa shutuma nyingi kwa serikali lkn uhalisia wa tukio lenyewe ni kuwa tunahisi tu. Inawezekana kabisa tajiri huyu alikuwa na michezo michafu ya kukwepa kodi, kumiliki kiasi kikubwa cha fedha in cash etc Yote hayo ni makosa, mlitaka aachiwe kisa tu anatoa ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.