Athari za chanjo ya mzungu kwa Waafrika

Athari za chanjo ya mzungu kwa Waafrika

Mkuu,
Wengine wamekuita mjinga. Wengine wamesema umeandika upuuzi. Lakini wote wanaishia hapo tu bila kwenda mbali zaidi, wao wenye maarifa, kufafanua upuuzi uliopo kwenye hoja zako. Mimi naafiki hoja zako. Mtu jiulize tu: kama kweli kinachotaka kufanywa ni kwa manufaa yetu, hivi wangehangaika hivyo kutulazimisha tuchanjwe? Hata yale majaribio walikuwa wanakazana yaanzie kwetu wakati kwao ndio walikuwa wanakufa kama nzige wakati vifo Afrika vilikuwa kiduchu? Wale mnaojiona mna akili, hivi inaingia maanani kwamba hayo ni kwa upendo wa Mwafrika? Give me a break!

Huyu naye ndo anaendeleza ujinga wa mtoa hoja. Yaani mzungu kama angekuwa na nia ya kutupunguza anaweza kwa kiasi kikubwa. Dawa karibu zote za mahospitali tunapewa na wao, chanjo za polio, chanjo karibu zote za watoto wadogo wanatoa wazungu, dawa za HIV zote wanatoa wao tena bure. Sasa kama ana nia kupunguza watu angeanzia hapo. Hana sababu ya kutumia chanjo za Covid19 atumalize njia ni nyingi tu.
 
Waungwana. Naona mnamshambulia mtoa mada,
Mbona haya yamezunguzwa sana tena katika nyuzi tofauti kwa muda mrefu Jukwaa la JF Doctor?
Kule yamezungumzwa mengi kkuhusu hila za Wazungu na madawa yao ya viwandani kwa Waafrika.
Hivi hamjiulizi ni kwanini propaganda za HIV(AIDS) kwamba wanasema waathirika zaidi ni Waafrika wa kusini ya Jangwa la Sahara?
Fikiri sana, Uliza Ujue ,Someni majarida , machapisho na vitabu mbalimbali.
 
mkuu ukichunguza vizuri wanaopinga hoja wengi ni vijana wa upinzani, hawa hua hawatumii akili zao
Haya maneno angeyasema Lissu au Mbowe wote hao wangekubali bila sababu

Ni aibu kwa taifa hawa vijana.
 
Huyu naye ndo anaendeleza ujinga wa mtoa hoja. Yaani mzungu kama angekuwa na nia ya kutupunguza anaweza kwa kiasi kikubwa. Dawa karibu zote za mahospitali tunapewa na wao, chanjo za polio, chanjo karibu zote za watoto wadogo wanatoa wazungu, dawa za HIV zote wanatoa wao tena bure. Sasa kama ana nia kupunguza watu angeanzia hapo. Hana sababu ya kutumia chanjo za Covid19 atumalize njia ni nyingi tu.
Hapa naona unajaribu kumsifia mtu aliyekuchomea nyumba halafu akakupa mwavuli.
 
mkuu ukichunguza vizuri wanaopinga hoja wengi ni vijana wa upinzani, hawa hua hawatumii akili zao
Haya maneno angeyasema Lissu au Mbowe wote hao wangekubali bila sababu

Ni aibu kwa taifa hawa vijana.

Upinzani upi tena wa kisiasa na kiitikadi au wa kimaendeleo, kiimani , kitamaduni , kifalsafa, kitaifa?
 
Ila waafrica sijui tupo duniani kwa dhumuni lipi... Tunaishigi tu kama maboga, tangu dunia iumbwe tumeunda kinu, kigoda, mwiko, upawa na chungu tu... Imeshapita zaid ya miaka 2k.... Tupunguzwe tu.
 
Chanjo s inataka hela , na jamaa kipaumbele chake ni miundo mbinu , swala la Afya au life standard ya watu wake haimuhusu ... Ingekuwa bure hyo chanjo haya yote usingeyasikia
CCM hapa walichemka maana kila kitu kinawatafuna hata wao, sio ajira waa sio afya. MITANO TENA
 
Yani mtu yuko bara moja wewe lingine then akupunguze idadi unambania ardhi ??
 
Ila waafrica sijui tupo duniani kwa dhumuni lipi... Tunaishigi tu kama maboga, tangu dunia iumbwe tumeunda kinu, kigoda, mwiko, upawa na chungu tu... Imeshapita zaid ya miaka 2k.... Tupunguzwe tu.
Na bado mtu anaropoka , kumtegemea mzungu ni utumwa.... Utumwa wakat hata nguo ya ndani amekutengenezea yeye, kiatu ulichovaa katengeneza yeye, mic unayoongelea katengeneza yeye, magari unahotembelea katengeneza yeye, Sisi tunachojua ni uganga wa kienyeji basi
 
Tumeliwa mno,, Tumelaliwa mno inatosha sasa ni zamu yetu

Tanzania tuna wataalam wa kutosha nimeagiza waziri wa sayansi na teknolojia akutane na wataalamu wetu wa tiba asili tuanze kutengeneza chanjo hapa hapa nyumban

Tembeeni kifua mbele
 
Kwani wewe katika maisha yako hujawahi kupata chanjo, na kama umepata jee imetengenezwa Tanzania? Inasikitisha mtu uliyekwenda shule kuja na stori za vijiwe vya kahawa kuja ku challenge hoja za kisayansi. Dogo unajidhalilisha yaani huna tofauti na Baba Levo,shame!
 
mkuu ukichunguza vizuri wanaopinga hoja wengi ni vijana wa upinzani, hawa hua hawatumii akili zao
Haya maneno angeyasema Lissu au Mbowe wote hao wangekubali bila sababu

Ni aibu kwa taifa hawa vijana.
Na mazezeta wa Lumumba mnashabikia kwa vile Magu amesema, kesho akisema tofauti na hivyo mtabadilika. Kwa nini hamkusema kabla ya kauli ya Rais? Wacheni uzezeta wenu nyie MATAGA.
 
SIJUI KWANINI HUA INANIWIA VIGUMU KUAMINI KITU KINACHOANDIKWA NA MWANACHAMA WA CHAMA.
 
Kuna chanjo nyingi walizotuletea wazungu,unaikumbuka chanjo ya NDUI? hata ukimkagua Magufuli anayo, Kuna gonjwa lilikuwa linaitwa surua,lilikuwa linaambukiza kwa njia ya hewa ,na familia ikikumbwa nalo mjue mnatengwa ,yalikuwepo magonjwa ambukizi mengi sana ila baada ya chanjo kutoka kwa wazungu yaliishiwa nguvu na kupotea ,hata tetekuwanga ilikuwa balaaa yote hayo yalikuwa yanaambukiza kwa njia ya hewa, sijui mnasemaje kuhusu hayo?
 
Bila hizo chanjo za mabeberu baba yako angelikufa akiwa mdogo ama kwa ndui,tb,au surua nawe usingezaliwa
 
Na mazezeta wa Lumumba mnashabikia kwa vile Magu amesema, kesho akisema tofauti na hivyo mtabadilika. Kwa nini hamkusema kabla ya kauli ya Rais? Wacheni uzezeta wenu nyie MATAGA.
Hiki nilikitegemea kutoka kwako, cjawahi kushawishika kwamba unaweza kua na akili zaidi ya hizi.
 
Bila hizo chanjo za mabeberu baba yako angelikufa akiwa mdogo ama kwa ndui,tb,au surua nawe usingezaliwa
Hizi chanjo zimeanza kuletwa lini ndugu, kabla ya hapo wangapi walikufa kwa hayo magonjwa uliyosema?
 
Mkuu wewe ni daktari nchi ngumu sana hii mtu anaokoteza taarifa nakuzpanga vizuri ili ueleweke

Ni Tanzania tu hata asiye daktar anaweza kukushaur jambo la kiafya linalohtaji utaalamu
 
Back
Top Bottom