Recent content by barakamorinho1357

  1. barakamorinho1357

    Kikosi cha Simba SC kimeondoka kwenda Afrika Kusini kujiandaa na Msimu Mpya 2019/2020

    Kitafika SA Mwaka 20199 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. barakamorinho1357

    Endeleeni kudanganyika kuwa hakuna ubaya kuijenga Chato, rasilimali za nchi kuelekezwa upande mmoja. Siku mkizinduka mtajua

    Kuna fwaler mmoja alikuwa Waziri mkuu Zaid ya miaka 7 afu hata hakujenga Wala kuendeleza kwao! Miundombinu mibovu Hadi kero! Alijiitaga eti "mtoto wa mkulima"..!!
  3. barakamorinho1357

    Nilivyomla kiulaini sistadu aliyewashinda wengi

    [emoji1787][emoji1787], nimechekaa mno, na 'mdindo' juu
  4. barakamorinho1357

    Naomba vifaa vinavyohitajila kuanzisha gereji

    Hongera kwa kutaka kuthubutu! But watu wanapaki magari wewe unataka kuanzisha garage?? [emoji2], Hii ndio inaitwa inversely proportion..
  5. barakamorinho1357

    Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Hivi Bei ya deisel kwa Dar ni Tshs ngapi? Pia Bei ya deisel kwa Kigoma ni Tshs ngapi? Labda tuanzie hapo
  6. barakamorinho1357

    Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

    Kamuuzie Prof Kabudi mkuu [emoji2][emoji2]
  7. barakamorinho1357

    Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

    Masikini huwa tuna sifa ya chuki na roho mbaya
  8. barakamorinho1357

    Ukitaka watu waharishe; Wakati wa kuchinja mbuzi au ng'ombe mshike shike macho yake watakaokula watasimulia!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee jf futuhi mnoo daah
  9. barakamorinho1357

    Ujumbe kwa wanaume

    Mbaya zaidi mwanamke akuone una upumbavu Kama wa Kabudi, ndio basii tenaa![emoji2][emoji2]
  10. barakamorinho1357

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Nyie maskini acheni roho mbaya! Hio tamthilia ya Sultan inaisha sijui mtasema nn!?
  11. barakamorinho1357

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Naomba uizungumzie na PSG , wanakwama wapi pamoja na uwekezaji mkubwa wanaowekeza!
  12. barakamorinho1357

    Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

    "Kama unataka Mali utaipata shambani"... Sasa Kam Dar kuna shamba endelea kukaa huko! Hio hela utabetia yotee itaisha mkuu!!
Back
Top Bottom