Recent content by Baraka zablon

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nguo zao lakini maumbo yao ni ya kawaida sana

    Nguo zinachangia asilimia kama 80,yaan utakuta mtu akivaa nguo akiboost na manyonyo unaweza sema "chuchu saa sita" kumbe saa 10 kabsaa"so nguo zinawasaidia waonekane na mvuto..ukitaka kuamini kwann zaman hakukuwepo na haya mambo ya chura lkn asaiv ndo yameshamiri unataka kuniambia mademu wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama hawa

    Na nyie acheni kukubali...kwan mnavyotongozwa c mnakubali wenyewe
  3. B

    JamiiForums Tanzania Aliniudhi sana alipotaka nimpe pattern ya kufungulia simu tukiwa katikati ya gemu

    Daaa bro..inaonekana game yako haikuwa chochote kwake mpaka anapata mda wa kushika cm??...game yako ilikuwa mbovu na bored kwake
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Kujiajiri ni kuzuri sana kwa kwel,ila mwanzo unakuwaga mgumu kama alivyosema mdau fulan hapo juu kwamba unaweza kuwaza kurud tena kuajiriwa,lkn baadae mambo yakishakaa sawa unakula bata 2 na mambo yanaenda sawa mpaka utasema nilikuwa wap ck zote,...kuajiriwa huwez kuwa tajiri...ila ukijiajir una...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Azam media group movie mnazorusha kwa lugha ya kiswahili ni mbaya mno

    Agiza soda au bia nitalipa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Rais Magufuli imeamua kuwanyonya wananchi wake kuhusu leseni za biashara?

    Nadhani vijana wengi watakuwa wanaogopa kufungua biashara coz ya hzo tozo kibao yaan kama unawafanyia biashara wao...this is not fair kwa kwel
  7. B

    JamiiForums Tanzania Adam na Hawa au Adam na Eva?

    Nadhani kama sikosei eva ni kwa lugha ya kizungu yaan "eve" na kwa kiswahili ni "hawa" so eve ni utofaut wa lugha lkn ni huyo huyo hawa...kama nmekosea m2 anisahihishe!!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wakati wa kufanya mapenzi anatoa kilio kisicho na machozi

    We piga show mkuu..hyo ni kawaida kwa wanawake ukileta huruma wenzako watamgegeda huku kapigishwa sarakasi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya make up vifungwe, Wanaume tunaibiwa sana tuandamane

    Me namshangaa kwanza zigo lote hilo we unaangalia make up...au yeye sio mwanaume rijali
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ni kweli kuna wanawake wana nyota ya mafanikio na wengine wana nyota angamizi

    Hapo umezama kwenye maswala ya nyota...wengi hatujui nyota zikoje yaan nyota ipi na ipi zinapatana na nyota zipi hazipatani tukishapata elimu hyo nadhan tutajua jins ya kuchagua wapenz...binafsi sijui maswala ya nyota....
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kero: Wanawake wengi wa Bongo hawaheshimu miadi (appointment)

    Hapo umenena me huwaga nawapatia hataree nawapaga masaa ma3...utakuta namwambia tuonane saa 7...kumbe me target yangu saa 10 kabsa na unakuta anafika saa 10 kwel so wanawake i inabid kuishi nao kwa akili sana, ata kwenye biblia imeandikwa....mwanaume usipokuwa na akili kila ck utakuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukawa na mahusiano na Mwanamke wa namna hii! Utapata wakati mgumu sana maishani mwako

    Lol...namba 4 mm huwa wananishinda tabia, hata mzuka nao hua cna, hata kama awe mzur vp sichukui round lazma nimpige chini....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

    Kama hujapata njoo pm mm npo kwa ajiili yako
Back
Top Bottom