itakuwa eva ni jina la hawa la ubatizo...............Habarini jamani ,
Baada ya salamu naomba nisiwachoshe wala tusichoshane na maneno mengi, natua moja kwa moja kwenye mada ,
Katika kusoma soma kwangu Biblia toka kwanzo hadi nilipoishia Mwenyezi Mungu aliumbwa Adamu na Hawa , Hivyo hivyo katika kupitia pitia Qur-an katika kipengele hicho hicho cha uumbaji wa Mungu , aliumba Adamu na Hawa,
Sasa nasikia wengine wakisema Mungu aliumba Adamu na Eva, huyu Eva ni yupi na mbona hata Biblia haijamtaja Adamu na Eva bali ni Adamu na Hawa, huyu Eva amekujaje labda?
Akishapata maelezo arudi au abaki huko huko?Mimi wala sijui ila hapa nakuombea hivi karibuni uende mbinguni Mungu akupe maelezo vzr
Eti kaburini,. UkizikwaMungu anapatikana wapi..?
Tuna mapokeo mengi kwenye hizi dini lakini tofauti ya lugha ndio msingi wa hizo tofauti... Hawa ni kiswahili /kiarabu, wakati Eva limetoholewa kutoka kwenye kiingereza Eve... Kama ilivyo kwa kaini-cain nknkHabarini jamani ,
Baada ya salamu naomba nisiwachoshe wala tusichoshane na maneno mengi, natua moja kwa moja kwenye mada ,
Katika kusoma soma kwangu Biblia toka kwanzo hadi nilipoishia Mwenyezi Mungu aliumbwa Adamu na Hawa , Hivyo hivyo katika kupitia pitia Qur-an katika kipengele hicho hicho cha uumbaji wa Mungu , aliumba Adamu na Hawa,
Sasa nasikia wengine wakisema Mungu aliumba Adamu na Eva, huyu Eva ni yupi na mbona hata Biblia haijamtaja Adamu na Eva bali ni Adamu na Hawa, huyu Eva amekujaje labda?
Subiri ukienda kwa Mungu utapata maelezo
Ni tofauti tu ya lugha ya kiarabu kiswahili na kizunguWakikujibu ni#
Kwani ukishajua itakusaidia vipi?Habarini jamani ,