Ushuhuda: Ni kweli kuna wanawake wana nyota ya mafanikio na wengine wana nyota angamizi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,795
Kuna Demu mmoja nilikuwa ' nikibanduana ' nae tokea January 2018 hadi March mwishoni hivi na nakumbuka nilikuwa nabahatisha mno kuokota Pesa zilizodondoshwa barabarani na Watu na hata ' madili ' yangu kwenda ninavyotaka yaani ni raha na mafanikio tupu ila niligombana nae baada ya Yeye ' Kunifumania ' ila tokea nianzishe mahusiano na Demu huyu wa April hii yaani najuta na kila ninalogusa Mimi halifanikiwi halafu Demu mwenyewe nae ndiyo ' Kakolea ' kweli Kwangu nikitishia kuachana nae anasema ' atajiua ' ili nami nikanyee debe Segadansi / Segerea.

Yaani niko njia panda hadi sasa nawaza sijui ili kumtafutia tu mbinu ya kuachana nae na kumkwepa nitafute tu Karatasi lolote hapa Gheto kisha niliandike " Naunga Mkono Maandamano ya Mange Kimambi Serikali ya Kidikteta na Mapolisi wote Tanzania ni nyoronyoro mnamhara Dada wa Taifa " kisha ' nimchomeshe ' kwa Mapolisi wa Kituo cha Karibu nami hapa ili wamkamate nami niweze kupata tiketi ya kuachana nae kwani kuna hatari kwa hizi ' Nuksi ' zake za awali huko mbele maisha yangu yatakuja kuwa ya matatizo zaidi.

Najuta sana kuachana na Yule Mpenzi wangu wa mwanzo na Wanaume wenzangu amini msiamini siyo kila ' Mbunye ' ni za ' Kuzichomekea ' tu hii ' Mikuyenge ' yetu kwani kuna zingine zina ' nuksi ' na ' mibalaa ' iliyotukuka hivyo linalonitokea sasa liwe funzo Kwenu.

Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie!

Nawasilisha.
 
Kuna Demu mmoja nilikuwa ' nikibanduana ' nae tokea January 2018 hadi March mwishoni hivi na nakumbuka nilikuwa nabahatisha mno kuokota Pesa zilizodondoshwa barabarani na Watu na hata ' madili ' yangu kwenda ninavyotaka yaani ni raha na mafanikio tupu ila niligombana nae baada ya Yeye ' Kunifumania ' ila tokea nianzishe mahusiano na Demu huyu wa April hii yaani najuta na kila ninalogusa Mimi halifanikiwi halafu Demu mwenyewe nae ndiyo ' Kakolea ' kweli Kwangu nikitishia kuachana nae anasema ' atajijua ' ili nami nikanyee debe Segadansi / Segerea.
Pole sana mkuu japo unayosema ni Imani yako tu hakuna ukweli lakini kwakuwa akili yako imekutuma kuamini ivo Basi achana na huyo demu.
 
Iko hivi unapokuwa na mahusiano na binti na pindi mnapokutana kingono au katika tendo la ndoa unakuwa umeunganisha damu yako na yake hivyo zinapokutana damu exchange yako inaingia mwilini mwake na yake kwako inaenda kutengeneza kitu kinachoitwa upatanisho wa nyota nyota hizo zipo katika viganja vya mikono au kwenye paji la uso.
Endapo damu(nyota) yako na yake vinapokutana na kama yakwake ni clear zaidi inakufanya kupata vitu zaidi ulivyo kuwa unapana na endapo yako vikalingana unapata kawaida vile vile kama moja itakuwa hafifu kuzidi nyingine inaenda kuizima ile iliyokuwa ikiwaka.
Kama kuna swali lolote niulize kuhusu ufafanuzi huu.
 
Kupitia kiganja cha mkono ntajuaje kama Nina nyota Kali
 
Hapo umezama kwenye maswala ya nyota...wengi hatujui nyota zikoje yaan nyota ipi na ipi zinapatana na nyota zipi hazipatani tukishapata elimu hyo nadhan tutajua jins ya kuchagua wapenz...binafsi sijui maswala ya nyota....
 
Iko hivi unapokuwa na mahusiano na binti na pindi mnapokutana kingono au katika tendo la ndoa unakuwa umeunganisha damu yako na yake hivyo zinapokutana damu exchange yako inaingia mwilini mwake na yake kwako inaenda kutengeneza kitu kinachoitwa upatanisho wa nyota nyota hizo zipo katika viganja vya mikono au kwenye paji la uso.
Endapo damu(nyota) yako na yake vinapokutana na kama yakwake ni clear zaidi inakufanya kupata vitu zaidi ulivyo kuwa unapana na endapo yako vikalingana unapata kawaida vile vile kama moja itakuwa hafifu kuzidi nyingine inaenda kuizima ile iliyokuwa ikiwaka.
Kama kuna swali lolote niulize kuhusu ufafanuzi huu.
Umeelezea vizuri. Kiukweli hili suala la nyota lipo. Na ni real... angalia demu unaekuwa nae kwenye mahusiano naye, historia yake , chunguza mahusiano aliyotoka. Huwa inakupa picha nzima kuwa yeye ni mtu wa aina gani.
 
Iko hivi unapokuwa na mahusiano na binti na pindi mnapokutana kingono au katika tendo la ndoa unakuwa umeunganisha damu yako na yake hivyo zinapokutana damu exchange yako inaingia mwilini mwake na yake kwako inaenda kutengeneza kitu kinachoitwa upatanisho wa nyota nyota hizo zipo katika viganja vya mikono au kwenye paji la uso.
Endapo damu(nyota) yako na yake vinapokutana na kama yakwake ni clear zaidi inakufanya kupata vitu zaidi ulivyo kuwa unapana na endapo yako vikalingana unapata kawaida vile vile kama moja itakuwa hafifu kuzidi nyingine inaenda kuizima ile iliyokuwa ikiwaka.
Kama kuna swali lolote niulize kuhusu ufafanuzi huu.
Mnaunganishaje damu hapo mkuu?au mnajitoboa na kuchomeka mirija?
 
Iko hivi unapokuwa na mahusiano na binti na pindi mnapokutana kingono au katika tendo la ndoa unakuwa umeunganisha damu yako na yake hivyo zinapokutana damu exchange yako inaingia mwilini mwake na yake kwako inaenda kutengeneza kitu kinachoitwa upatanisho wa nyota nyota hizo zipo katika viganja vya mikono au kwenye paji la uso.
Endapo damu(nyota) yako na yake vinapokutana na kama yakwake ni clear zaidi inakufanya kupata vitu zaidi ulivyo kuwa unapana na endapo yako vikalingana unapata kawaida vile vile kama moja itakuwa hafifu kuzidi nyingine inaenda kuizima ile iliyokuwa ikiwaka.
Kama kuna swali lolote niulize kuhusu ufafanuzi huu.
Kijana, acha ushirikina
 
Kumbe
 
Sina uhakika sana na haya mambo ya nyota..ila nakumbuka kijana alienitoaga usichana aliwahi niambia nikikasirika kama kaniudhi basi na mambo yake huenda ovyo..hii pia ni kuhusu nyota au?
 
Back
Top Bottom