Mkuu kuna usemi mmoja wnasema kupanga ni kuchagua lkn kuchagua sio kupanga
Mahusiano ambyo hyana dira wla muelekeo huwa ynatucost na ynaturudsha nyuma piga mahesabu gharama zote ulizoztumia ungekuwa umewkeza sehem sahiz si ungekuwa mbali sna
Amua vema mtu ambae sio sahihi ktk maisha yko...
Sports headquarter EFM wanajitahidi sana kwa contents analysis ya michezo ni full pakage na wanacover sehemu kubwa sana ya michezo ktk maeneo mbalimbali
Rais wetu JPM namfaham vzr sna nchi hii sio shamba la bibi w2 wnachota tu rasilimali zetu bila watz kufaidika ikiwezekana watuachie madini y2 too sad JPM usimuache mtu yyte aliehusika ktk hili lzma awajbishwe watz tumeliwa vya kutosha Ss tuko pmja na JPM Mungu azidi kumpigania na kumlinda kwa...
Watanzania sisi watu wa ajabu sna yaani tunashindwaje kuwa na uzalendo na rasilimali za mchi yetu Rais wetu anauchungu sna na w2 wanaokula jasho la watanzania hlf mtu mshipa wa shingo umesimama anawatetea Acacia kwa lipi kwa hasara yte walioyotuletea TANZANIA KWANZA Mungu mbariki sna Rais wetu...
Actually hkna maamuz magumu ni umakini tu ktk kuamua jambo lolote lile ktk maisha ukiona mtu anashindwa kuamua jmbo amblo hlina tija ktk malengo ya maisha yke maana anajrbu kununua furaha yke kwa gharama ya kusingizia hwz kuish peke ake kmzoea partner wke hya ni mazoea tunaish kutokna na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.