Unatamani kumuacha ila unashindwa? Ngoja nikwambie kitu

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,076
17,246
Kuna watu wana Mikwara sana, ukiachana nae anaanza Maneno ya shombo, wengine hudiriki kukwambia ''you cant live without me utarudi tu'', unajiuliza huyu mtu ana Hisa kwenye mishipa yangu ya moyo au ana mrija wa Oxygen yangu ya kutumia kesho?? Kama nilizaliwa peke yangu kwanini nisiweze kuishi wewe ukiondoka??

Maneno ya mkosaji haya, usiyasikilize kamwe! Unapoamua kufanya Maamuzi magumu usisikilize kingine chochote, Follow your heart. Wengi wamegeuzwa watumwa kwa kuamini they cant live bila watu fulani, kisa wamezoeana, au wamekaa muda mrefu kwenye mahusiano, unahisi kama hutaweza... Hamna kitu kisichowezekana, Mungu ameumba kusahau, utapona maumivu na utasonga! Hakuna destiny rahisi ya Kimapenzi bila kufanya maamuzi magumu, lasivyo Jiandae kuwa mtumwa wa mtu fulani, binadamu fulani ambaye naye amegundua wewe ni dhaifu na anatumia udhaifu wako kukutesa maisha yote...

Amua leo, Uwe mtumwa wa mtu au utengeneze furaha yako kwa Kumove on kupata Love of you life ....
 
daaaa kama ulikuwepo hilo limekuwa tatizo kubwa kwangu maana ukweli nimempenda sana mdada mmoja na nimekaa nae miaka saba na hatuwezi kuoana, ni kweli nimekubali wacha aolewe maana hakuna jinsi ila nimeumia sana moyooo tena kupita kiasi ningekuwa na uwezo kweli kabisa ningeingia nae kwenye ndoa ila hali hairuhusu kabisa na yeye umri umeshaenda.
Tatizo kubwa huwa na muwaza sana kiasi kwamba kagundua hilo na kageuza ndio kigezo cha kunitesa hata hivyo nae analalamika kuwa ananipenda lakini hakuna jinsi, yeye anaishi mkoa na mimi nakaa dar, tafadhali usikutane na hali hiiii,
acha kabisaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siwezi kusemea nafsi yake lakini kwangu ni maumivu makubwa. Hata hivyo kwa papara zake kaniambia amepata mchumba ambae nae hayupo mkoa huo. Mdada yupo Masasi na Jamaa yupo Arusha na kwa sasa wamekutana, dada amekwenda kwa jamaa kwa wiki tatu.
NAUMIA SANA LAKINI HAINA JINSI nimeshaanza piga moyo konde ili maisha yasonge.
 
Mkuu hata mimi niliambiwa sina ubavu wa kuishi na mwanamke mwingine bila yeye.Ni miaka kumi sasa imepita(2007) maisha yanaenda vizuri tu.Nimebadili namba ya simu mara nne haijasaidia kumkwepa,yeye ndio ameshindwa kuishi bila mimi anataka turudiane.Ukiamini utaishi uaminivyo
 
Kweli una moyo. Yaani hadi anakwambia kuwa ameenda kwa mwanaume mwenzio kwa muda wa wiki tatu we unachekelea tu. Wanaume wa dar mnahitaji maombezi mazito.
 
Actually hkna maamuz magumu ni umakini tu ktk kuamua jambo lolote lile ktk maisha ukiona mtu anashindwa kuamua jmbo amblo hlina tija ktk malengo ya maisha yke maana anajrbu kununua furaha yke kwa gharama ya kusingizia hwz kuish peke ake kmzoea partner wke hya ni mazoea tunaish kutokna na muda na mazingira ynavyoturuhusu ukiona mtu anakzna kufnya jmbo amblo muda wke umepita na hlina faida tena kwake mpige makofi arestore settings za kichwa chke
 
daaaa kama ulikuwepo hilo limekuwa tatizo kubwa kwangu maana ukweli nimempenda sana mdada mmoja na nimekaa nae miaka saba na hatuwezi kuoana, ni kweli nimekubali wacha aolewe maana hakuna jinsi ila nimeumia sana moyooo tena kupita kiasi ningekuwa na uwezo kweli kabisa ningeingia nae kwenye ndoa ila hali hairuhusu kabisa na yeye umri umeshaenda.
Tatizo kubwa huwa na muwaza sana kiasi kwamba kagundua hilo na kageuza ndio kigezo cha kunitesa hata hivyo nae analalamika kuwa ananipenda lakini hakuna jinsi, yeye anaishi mkoa na mimi nakaa dar, tafadhali usikutane na hali hiiii,
acha kabisaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siwezi kusemea nafsi yake lakini kwangu ni maumivu makubwa. Hata hivyo kwa papara zake kaniambia amepata mchumba ambae nae hayupo mkoa huo. Mdada yupo Masasi na Jamaa yupo Arusha na kwa sasa wamekutana, dada amekwenda kwa jamaa kwa wiki tatu.
NAUMIA SANA LAKINI HAINA JINSI nimeshaanza piga moyo konde ili maisha yasonge.
Pole sana mzee, Kama ndio mara yako ya kwanza kuzinguliwa na mademu ofcoz unaeza ukaumia labda kwavile ulijitoa mazima,
Piga moyo konde mwana huyo amekupa funzo alafu achana na mapenzi ya kifilipino huwa yanacost sana
 
Mkuu hata mimi niliambiwa sina ubavu wa kuishi na mwanamke mwingine bila yeye.Ni miaka kumi sasa imepita(2007) maisha yanaenda vizuri tu.Nimebadili namba ya simu mara nne haijasaidia kumkwepa,yeye ndio ameshindwa kuishi bila mimi anataka turudiane.Ukiamini utaishi uaminivyo
Moyo kama huo wako tunauitaga ni moyo wa dhahabu,
Unapotaka kumove on unatakiwa kwanza uamini kwamba wewe ni wa thamani zaidi ya yeyote na wala haudeserve kutritiwa kama mbwa... Akizingua sepa
 
Kuna msichana nilikutan nae wiki iliyopita maeneo fulan hiv tukapiga story na wote ikaonekana tumependana nikajisemea moyon hakika hapa nimepata na nitatulia naye mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu lakin cha kushangaza kila nikimpigia na kumwomba tuonane anazingua muda mwingine hata simu hapokei msh hajibu

Kiukweli napitia kipindi kigumu sana moyo unauna sana najitahid kumsahau lakin nashindwa
 
Hapo ninachokizungumzia ni maumivu ya moyo na sikweli eti bado nipo na huyo demu naomba muelewe wakuuuu!!!!!!
Kinachoelezwa ni jinsi moyo unavyopata taaabu ku mdelete ndo maana nasema achaaaaa tuuuu, tayari kwangu hana nafasi tena ila haya maumivu ndo yanaleta shidaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Kuna msichana nilikutan nae wiki iliyopita maeneo fulan hiv tukapiga story na wote ikaonekana tumependana nikajisemea moyon hakika hapa nimepata na nitatulia naye mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu lakin cha kushangaza kila nikimpigia na kumwomba tuonane anazingua muda mwingine hata simu hapokei msh hajibu

Kiukweli napitia kipindi kigumu sana moyo unauna sana najitahid kumsahau lakin nashindwa
Ana wake
 
Back
Top Bottom