Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Mkuu kuna usemi mmoja wnasema kupanga ni kuchagua lkn kuchagua sio kupanga
Mahusiano ambyo hyana dira wla muelekeo huwa ynatucost na ynaturudsha nyuma piga mahesabu gharama zote ulizoztumia ungekuwa umewkeza sehem sahiz si ungekuwa mbali sna
Amua vema mtu ambae sio sahihi ktk maisha yko atakurudsha nyuma ht umpende vipi
Maisha ni muhim klko mahsiano ysyo na tija wla mwelekeo kwako maisha hykusubir
Asante kwa kunitia nguvu Ndugu yangu. Mungu akubariki
 
ushauri wangu ni hivi ni mara mia maumivu ulonayo leo ambayo ipo siku yatafika kikomo ,kuliko kumrejea alafu ukaendelea kuteseka daima ,la muhimu songa mbele hayo maumivu ni ya mpito yatakweisha tu
Asante kwa ushauri
 
Hiyo kauli ya kipigo cha mbwa koko imenichekesha sana,nimemkumbuka yule kamanda wa dodoma hahahaaha.Sasa kijana huyo mwanamke mwache inaonekana wewe ni kunguru na yeye ni mwewe nikimaanisha hamuendani kabisa na hii ni kwa mujibu wa maneno na matendo uliyoyaeleza.Pole sana
Asante Kaka
 
Kaka unajiona kwenye uhusiano wako wa uchumba hivyo basi jua hatabadilika daima..maana uchumba ni kivuli cha ndoa... nakushauri ndugu najua inauma ila jipe mwezi tu na utakuwa sawa... ukiendekeza ukimwi upo karibu
Asante kwa ushauri Kaka
 
Huyo mwanamke anasumbuliwa na nafsi alizotembea nazo kabla hajaingia katika maisha yako..ili uweze ku-win mapenzi yake tafadhali shirikisha wazee wa dini husika unayoitumikia ili huyo mwanamke avunje hizo nafsi na akubali kuwa na wewe..hapo atapona! Tatizo la kuzini kabla ya kuingia kwenye ndoa hayo ndio matokeo yake!
 
Yani unashare na wanaume wenzio upo tu unatizama!!!!! Ama kweli tunatofautiana.

Wanawake walivyo wengi hivi, tafuta mtu upange nae maisha ujana una mwisho.
Asante Mkuu
 
Huyo mwanamke anasumbuliwa na nafsi alizotembea nazo kabla hajaingia katika maisha yako..ili uweze ku-win mapenzi yake tafadhali shirikisha wazee wa dini husika unayoitumikia ili huyo mwanamke avunje hizo nafsi na akubali kuwa na wewe..hapo atapona! Tatizo la kuzini kabla ya kuingia kwenye ndoa hayo ndio matokeo yake!
Asante kwa ushauri Mtumishi. Barikiwa
 
*****...yaani watu wengine sijui mmerogwa au nini.....sasa hapo unaomba ushauri wa nini wakati kila kitu kiko wazi kabisa....siku nikiupata huo mzigo mwanza hapo na mimi nikaukula ndio utajua sio dem huyo
 
Back
Top Bottom