Transfers Talk Special Thread 2017/18

Manchester United na Tottenham Hotspur wameungana katika mbio za kumsajili winga wa Bayern Munich Douglas Costa

source: Goal.Com
 
wachezaji wa Manchester City wanaamini msimu ujao wataungana na Kyler Walker wa Spurs na Sanchez wa Arsenal kwa euro milion 100

source: AS
 
Juventus imepanga kuipiku Manchester United kupata saini ya Renato Sanchez

source: Daily Mirror
 
klabu Barcelona inataka kumsajili kiungo wa Manchester United Ander Herrera majira ya kiangazi

source: Sport
 
klabu ya Arsenal ina nia ya kupata saini ya kiungo wa Borussia Monchengladbach Thorgan Hazard
pia klabu hiyo inamuhitaji beki wa kulia wa Real Madrid Danillo

source: Juenes Footeus
 
klabu ya Everton imeweka wazi kwa timu yoyote inayomuhita kiungo wake Ross Barkley dau lake ni euro milioni 50.......Tottenham na Manchester City wanamuhitaji mchezaji huyo

source: Daily Mirror
 
mshambuliaji wa Dortmund Aubameyang ameomba kuondoka katika timu hiyo

source: The Sun
 
klabu ya Arsenal imepanga kumuongezea mshahara mshambuliaji wake Alexis Sanchez mpaka kufikia paundi 270k kwa wiki

source: Daily mirror
 
West ham wanataka kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon William Calvalho kwa ada ya euro milioni 39

source: O jogo The Record
 
Back
Top Bottom