Recent content by baraka boki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye wasifu wa Henry Kilewo atuwekee hapa

    Naomba kufahamu mtu ambaye ana cv ya huyu katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni na kanda maalum ya Dar es salaam.Jamaa anapenda kumuiga sauti Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini .
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri please. ..

    Koko beach kuna sipataki wezi wengi mi nataka fukwe ambayo kuingia unalipia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri please. ..

    Habari za asubuhi wadau Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja gani kizuri kwa kutoka out?

    Wadau naomba mtu mwenye kujua sehemu nzuri ambayo mtu unaweza kutoka out na ukafurahi na rafiki zako. Binafsi mimi napendelea kutembelea sehemu ambayo naweza kuogelea katika swimming pool alafu baadaye nikaenda kuogelea baharini mfano ni jangwani sea breeze napendelea kwenda pale. Kwa hiyo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania True story

    Maisha ya sasa bila gari kupata watoto wazuri ni nadra
  6. B

    JamiiForums Tanzania True story

    Ilikuwa mida ya jana pale jamaa yangu aliponipigia simu nimsindikize akaonane msichana mmoja aliyekutana naye pale Girrafe hotel ambapo jamaa alichukua namba ya huyo msichana wakawa wanachat kama kawaida. Sasa jana ndiyo ilikuwa first date ya kukutana na huyo msichana basi kama kawaida jamaa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Irene mbona umenichunia kijana mwenzio. ..

    Leo nimeenda jangwani kujaribu kumtafuta nipo nimevaa tisheti nyekundu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Irene mbona umenichunia kijana mwenzio. ..

    Basi ilikuwa katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana pale kijana nilipoamua kutembelea maeneo ya jangwani sea breeze nikiwa na wenzangu kama wawili .Wakati nikiendelea kupata starehe ghafla macho yangu yakakutana na Mrembo mmoja basi naye akatabasamu mimi sikuonyesha interest ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

    kama nilijua vile
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

    Kama nilijua maana huyo demu alikuwa anaringa sana. Nafurahi mi ndiyo nilianzisha thread hii
  11. B

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    bakari ugomvimwiko, noah kilimanjaro ,koba kalumbeta ,nseka bugoya ,martin luharara wachezaji wa mpira wa zamani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Magobeko magina mlimani primary school 2001
  13. B

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    chibe chibindu mchezaji wa zamani wa yanga
  14. B

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio mbalimbali; Kumbukumbu ya mauaji ya makusudi

    Tuwekeeni link ya sunrise radio tusikilize online
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    hajanishinda siyo kila demu ayesema hataki kwamba anakupima wengine wana misimamo yao ,na huwezi kulazimisha asiyekupenda
Back
Top Bottom