Irene mbona umenichunia kijana mwenzio. ..

Irene wa kwanza alining'ata kidole shule ya msingi,wa pili alinisingizia mimba,wa tatu alivunja kioo cha gari nikiwa nimempakia shem wangu akijua ni demu wangu,wa nne kanifukuza kazi...wote irene hawa...samahani lakini,ni kumbukumbu binafsi hazihusiani na uzi huuuu
mkuu unabahati mbaya sana na majina ya irene me nina binti yangu anaitwa irene usimkaribie kabisa.
 
Basi ilikuwa katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana pale kijana nilipoamua kutembelea maeneo ya jangwani sea breeze nikiwa na wenzangu kama wawili .Wakati nikiendelea kupata starehe ghafla macho yangu yakakutana na Mrembo mmoja basi naye akatabasamu mimi sikuonyesha interest ya kumshobokea wala nikaendelea kupiga story na wenzangu. Lakini baadaye nilipoenda kuoga katika swimming pool nikakutana na yule Mrembo nikamuuliza jina lake anaitwa Irene basi nikapiga naye story kidogo tukaagana na kupeana namba za simu. Basi tukaendelea kuwasiliana kama kawaida huku tukichat whatsApp nikimpigia simu tulikuwa tunaongea kama kawaida .Lakini juzi amenikatia mawasiliano simu apokei na message ajibu sijui kwa nini?.Kwa kuongezea huyu msichana sikumtongoza nilikuwa na buy time kwanza nimzoee kwanza taratibu.Wadau naomba ushauri nifanyaje maana huyu Mrembo amenikatia mawasiliano?
Be careful who you invest your time in. Nothing is worst than wasted time. It's the one thing you can't get back
 
mkuu unabahati mbaya sana na majina ya irene me nina binti yangu anaitwa irene usimkaribie kabisa.

heheh IRENE MWANTUI.... subiri nimtafute facebook..

30.jpg
 
Basi ilikuwa katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana pale kijana nilipoamua kutembelea maeneo ya jangwani sea breeze nikiwa na wenzangu kama wawili .Wakati nikiendelea kupata starehe ghafla macho yangu yakakutana na Mrembo mmoja basi naye akatabasamu mimi sikuonyesha interest ya kumshobokea wala nikaendelea kupiga story na wenzangu. Lakini baadaye nilipoenda kuoga katika swimming pool nikakutana na yule Mrembo nikamuuliza jina lake anaitwa Irene basi nikapiga naye story kidogo tukaagana na kupeana namba za simu. Basi tukaendelea kuwasiliana kama kawaida huku tukichat whatsApp nikimpigia simu tulikuwa tunaongea kama kawaida .Lakini juzi amenikatia mawasiliano simu apokei na message ajibu sijui kwa nini?.Kwa kuongezea huyu msichana sikumtongoza nilikuwa na buy time kwanza nimzoee kwanza taratibu.Wadau naomba ushauri nifanyaje maana huyu Mrembo amenikatia mawasiliano?

Ajibu na apokei?? Kiswahili cha wapi hicho?
 
usjali snowhite baada ya tarehe 15 utaanza kupumua,
 
Last edited by a moderator:
Basi ilikuwa katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana pale kijana nilipoamua kutembelea maeneo ya jangwani sea breeze nikiwa na wenzangu kama wawili .Wakati nikiendelea kupata starehe ghafla macho yangu yakakutana na Mrembo mmoja basi naye akatabasamu mimi sikuonyesha interest ya kumshobokea wala nikaendelea kupiga story na wenzangu. Lakini baadaye nilipoenda kuoga katika swimming pool nikakutana na yule Mrembo nikamuuliza jina lake anaitwa Irene basi nikapiga naye story kidogo tukaagana na kupeana namba za simu. Basi tukaendelea kuwasiliana kama kawaida huku tukichat whatsApp nikimpigia simu tulikuwa tunaongea kama kawaida .Lakini juzi amenikatia mawasiliano simu apokei na message ajibu sijui kwa nini?.Kwa kuongezea huyu msichana sikumtongoza nilikuwa na buy time kwanza nimzoee kwanza taratibu.Wadau naomba ushauri nifanyaje maana huyu Mrembo amenikatia mawasiliano?

Namba yake inaishia na 81 si ndiyo na mm nilimkuta jana pale nashangaa kanichunia na mm jaman irene sio vizuri hivyo
 
Eti na chat nae.......hela ya vocha unampa wewe???kakuona wa nini wakati hata kujisahau kurusha vocha ya buku huwezi.
 
thread zingine zinaboa bora kwenda CDM forum
 
Rudi tena Jangwani...au hamia White Sands, Giraffe, Belinda n.k huenda utampata huko...

Pia kama una namba yake ya simu maana yake unaweza kujua jinale kamili, tumia jina hilo kumsaka mitandao ya kijamii ka FB n.k

Leo nimeenda jangwani kujaribu kumtafuta nipo nimevaa tisheti nyekundu
 
anaogo kwenye swimingpool....kwa taarifa yako hakuna mwanamke anaekubali hicho ulichokuwa unamfanyia eti kubuy time.....
 
Back
Top Bottom