Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

Mbuzi hapigiwi gitaa. Wakati wewe unampigia mbuzi gitaa na dereva wa taxi anamuonyeshea huyo mbuzi majani, unadhani mbuzi ataenda kwa nani? kwako au kwa dereva taxi?

sasa ndiyo tatizo hilo
 
umejuaje kama sijui kutongoza nipe dada yako uone usiongee vitu usivyovijua kama hutaki kutoa ushauri kaa kimya ,kwani kuna shule ya kutongoza
huyo kakushinda dad yangu ndo utamuweza labda ufanye majaribio ya kurubuni vitoto vya mtaani kwenu kwanza ndo uanze kwa wengine hata maneno matam 2 huna
 
huyo kakushinda dad yangu ndo utamuweza labda ufanye majaribio ya kurubuni vitoto vya mtaani kwenu kwanza ndo uanze kwa wengine hata maneno matam 2 huna

hajanishinda siyo kila demu ayesema hataki kwamba anakupima wengine wana misimamo yao ,na huwezi kulazimisha asiyekupenda
 
Back
Top Bottom