Recent content by Banzi

  1. Banzi

    Naomba msaada na ushauri wa kisheria

    Scenario: Case No 1. (Madai ya nyongeza-Mshahara) Situation: Mimi kama kiongozi wa idara pia (Makamu mkuu wa idara), nilipokea malalamiko ya vijana kuhusu kuongezewa mishahara, hii issue ilianza na mkuu wa idara lakini hakuwa amelipa uzito na kulisimamia kuwa madai utaratibu uedelee kufuatwa...
  2. Banzi

    Nimeshindwa kufanya mapenzi

    Jamani nataka nilete mrejesho kwenu waungwana. Napoandika ujumbe huu ukweli ni kwamba nimetoka ku check kama kweli tatizo ni langu au la, proof ni kwamba nimetoka kupiga mechi tangu Friday mpaka Suday hii around saa 11 alfajiri. Nimepiga kazi sana tu, usiku wa kwanza nimepiga bao 3 bao la kwanza...
  3. Banzi

    Nimeshindwa kufanya mapenzi

    Kisungu nashukuru sana Kwa ushauri wako mkuu, ukweli unachosema kina substance kubwa mno na ni Cha msingi sana. Hakika naamini kuna substance kubwa sana kwenye ushauri wako. Nimekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na nina namba ya kutosha behind, na ukweli upo clear na evidences ninazo Kwa wale...
  4. Banzi

    Nimeshindwa kufanya mapenzi

    Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga...
  5. Banzi

    Nimeshindwa kufanya mapenzi!

    AshaDii na wengine nawaombeni msaada wa mawazo jamani, mwenzenu nataabika ajabu sana.
  6. Banzi

    Nimeshindwa kufanya mapenzi!

    Habari zenu wanaJF, nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora. Yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda mrefu wa kuwa na confidence na mimi alinikubali...
  7. Banzi

    Machali kujiuzulu ubunge?

    Mwamakula......nimekuwa nikifuatilia post zako, mambo kadhaa nimegundua. Kwanza lafudhi yako inayoendana na maandishi yako inanipa picha wewe si mtanzania, ni Mrundi na kwa sababu hiyo i can sense wewe ni Mkosamali coz i once listen to your interview na ku-notice hilo. 2nd huna lugha za...
  8. Banzi

    Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

    With all due respect i have brother Will le baharia.........kwa bandiko lako hili napingana na wewe kwa kiasi cha 100%, na sijaona relation ya post hii ya huyu ndugu na CHADEMA...Why and fpr what reason? kwanini umefanya attack as if u had something in your heart for so long? Halafu itakuwa ni...
  9. Banzi

    Mapendekezo ya katiba mpya: Kipengele cha bunge kuthibiti safari za nje

    Mutuz le Baharia........kwa hakika umeugusa moyo wangu mno, na kwa hili nasema hata mungu aone nia yako na maombia yako. Kwa hakika kuna mambo mengi mno ya hovyo hovyo ambayo kimsingi yanapaswa kuepukika na kupunguza gharama zisizo za lazima kwa wananchi. Sitaki kuyataja hapa kwani si nia yangu...
  10. Banzi

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    Dah. Kamimbi we ni soooooooooooo mbaya kiongozi. Unajua nilikuwa nasinzia nimeona post yako nimecheka balaaaaaaaa mbayaaaaaaaaaaa. Ebwana we ni so mkuu. Hilo nalo neno aise hapo kwenye "Halua na Tende"
  11. Banzi

    CHADEMA yaleta AMANI MBEYA baada ya risasi na Mabomu kushindwa

    Omar...hebu niambie Mwanasiasa ni nani basi, kama sugu siye? Naomba msaada kwenye tuta please
  12. Banzi

    Majibu UKIMWI ya Sinta na Jack Wolper

    hapo kwenye red hapo...pigia mstari tena bold
  13. Banzi

    Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

    Kiongozi i do agree with you for 100%. Na kwa kweli if this is true (personally sijaona hiyo taarifa) though i can believe it coz i know the guy alivyo low. CDM should capitalize on this statements na ni insult kwa hawa watumishi waaminifu kwa serikali yao na jamii wa ujumla. So viongozi wa CDM...
  14. Banzi

    Original comedy wanapewa nini na CCM?

    Mwita wewe ni kijana, mzee au kikongwe? nauliza tu kwa maana nzuri.
  15. Banzi

    Putin to Return to Presidency

    I like this Game, i wish Ben could have done the same kwakweli....dah.
Back
Top Bottom