Recent content by bangra

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu(cwt) na ndoto za kibepari.

    Siku za usoni chama cha walimu(CWT) Kitaanzisha Benki wanayoinadi kuwa ni ya walimu kitu ambacho ninakipinga kwa sababu katika mfumo wa kibepari kuna matabaka makubwa mawili; tabaka la wamilikaji njia kuu za kiuchumi(hapa ni viongozi wa CWT) na wafanyakazi (na hapa ni walimu).kwa maana hii...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo mwenzenu?

    Gud... anayo mazuri yake kama matumizi mazuri ya pesa, tabia na usafi wa kila kitu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo mwenzenu?

    I mean wakiwa hata wanazungumzia kitu flani katika maisha yao anachukulia kama icho kitu lazima kiwe katika maisha yetu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo mwenzenu?

    Inawezekana ni sahihi ila nimemvumilia kwa kuwa hana tabia ya umalaya hili ndio zuri kwake na nilimkuta 'sealed' ndo nikaamini mengineyo nitayabadili ila inakuwa ngumu kwa hiyo tabia ya kujiamini on everything.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni mawazo mwenzenu?

    Habari jf. Nimekuwa ktk mahusiano na mwanamke mmoja wa kiwanji kwa takribani mwaka sasa ninampenda sana, na nipo mbioni kumuoa lakini nina wasiwasi kama ndoa yetu itadumu maana anatabia ya kusikiliza na kuamini kila anachoambiwa iwe na ndugu au rafiki. Lakini pia anaonekana na tabia ya kupenda...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta hiace hardtop

    Natafuta hiace hardtop tutafutane hapa0689561347
  7. B

    JamiiForums Tanzania Teachers‘ Junction

    I am graduate teacher with one year teaching experience in geo, civ and hist. Now nipo nzega nataka kufundisha private school or college.0689561347.
  8. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu idara ya secondary nipo wilaya ya nzega natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka wilaya za iringa, mbeya na morogoro.0689561347
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kazi mkwawa vp?

    Ni miezi kadhaa imepita tangu interview zifanyike ambapo interview ya kwanza ilifanyika mwezi wa tisa na baada ya muda wakatuita tena katika interview ile ile kwa mara ya pili jambo ambalo halikuwepo mwanzoni, tukaenda tukafanya tena interview nakumbuka ilikuwa tar 15/11/2013. mpaka leo hakuna...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Naunga mkono huo ni utashi wa serikali ya watu. Lazma uheshimu maamuzi ya viongozi wako maana tumetakiwa kuwaheshimu wenye mamlaka juu yetu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    Akili ndogo kutawala akili kubwa lazima nguvu itumike.
  12. B

    JamiiForums Tanzania messi messi messi

    Tha king is back
  13. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

    Ni sahihi prof
Back
Top Bottom