messi messi messi

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
dogo kweli yupo poa na anaweza maana jana karudi na katupia 2. nampa big up.
 
mpaka arudie u-king inaweza kuwa sawa na ujio wa Mfalme wa Wafalme
 
Jamaaa yuko vizuri,na hii yote ni kutokana na kumshirikisha MUngu na kumwamini kwa kila jambo,na hilo ndio jambo twapaswa kujifunza kutoka kwake,kushukuru kwa kila jambo na tusichoke kuomba na kushukuru,
 
Dogo kapiga magoli ya akili sana yote at 90min plus .. goli la pili ndo lilikuwa balaa ....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom