Recent content by BangiNyeusi

  1. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

    Kucopy ni dhambi, kama wasanii wamekubalianam
  2. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Diamond unakosea sehemu ndogo sana

    Ni wimbo usio kua n maisha marefu pia nafikiri vile maswala ya uchaguzi yanakaribia ni kujipa shavu ale pesa za kampeni... beat n idea ya soapy yake Naira marley Nb mond ataendelea kuwabuluza mnoo
  3. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Akikujibu nambie 😁😁😁😁
  4. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Kwaiyo unataka kusema kiba anaimba basi tu? Mafii wee
  5. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Marks 1...

    7 mkuu na paper kazaa zimegota kwenye 39.. ngoja nijaribu bahat mara nyingine
  6. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

    Mkuu
  7. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Marks 1...

    Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa inaweza ikaleta matokeo chanya katika jumla ya matokeo yake.....! Hii elimu ngumu sana ila hatuna namna...
  8. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ligi ndio hizo zimeanza makamanda.... au tusubiri ligi za msimu ujao? Mmbo s shwari
  9. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Leo wajomba tumestahili kipigo
  10. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

    Yule atabaki kua muhamasishaji tu nafikiri ila hawez kutoka simba moja kwa moja. Huyo Gift anaenda kufanya kazi kiweledi zaid kama anavyofanya D10 yule wa Yanga...
  11. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Barcelona wafungane Almere city afunge au atoe draw
  12. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

    Nomaa saana ila hakuna umuhimu wa kuweka picha zao
  13. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulilowahi kulifanya kila ukikumbuka unajuta

    Kumpenda saana dame flani hivi .....
  14. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuapply Vyuo

    Mmmh
  15. BangiNyeusi

    JamiiForums Tanzania Punyeto ilivyosababisha nihame nyumbani

    Ila nyeto daaah
Back
Top Bottom