Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

kwa anaejua, je ni document zipi na zipi natiwa niwe nazo siku ya registration.
na kwa anayejua taratibu zote za mwanzo ninazotakiwa zifanya kabla ya kuanza kula shule.

Pia kwa mwenye ufahamu je majina yatakayotolewa na TCU hiyo tar 22 yataambatananishwa na majibu ya bodi ya mikopo?
 
hahahahhahaaaa karibu kijana ila pale supp zipo nje nje ishu ni kukomaaa tuu while other things remain constant la sivyo kila semi utakua na supp

under ceteric peribus.. hhhhh umenikumbusha mr.nyange semi one uchumi
 
kwa anaejua, je ni document zipi na zipi natiwa niwe nazo siku ya registration.
na kwa anayejua taratibu zote za mwanzo ninazotakiwa zifanya kabla ya kuanza kula shule.

Pia kwa mwenye ufahamu je majina yatakayotolewa na TCU hiyo tar 22 yataambatananishwa na majibu ya bodi ya mikopo?
majina ya mkopo yanakuja baada ya kuripoti chuo
vitu vinavyoitajika ni
leaving certifica ya o level n advnce
birth certificate
kuna admission letter utapewa wakat unakuja so kuna baadh ya document utazijaza pia zinahitajika
 
Asante sana mkuu, naomba niulize tena
Admission letter nitapewa chuo au TCU,
hizo ducument umesema nitajaza zimo ndani ya bahasha ya admission au zinapatikana hapohapo chuo.

Thanks
 
majina ya mkopo yanakuja baada ya kuripoti chuo
vitu vinavyoitajika ni
leaving certifica ya o level n advnce
birth certificate
kuna admission letter utapewa wakat unakuja so kuna baadh ya document utazijaza pia zinahitajika

ahsante mkuu ...na hvyo vyeti vyote kw pamoja ni photokopy tuh au real kabsa?
 
mkami nataka kitengeeeeeeee
A%20S%20new.gif
😛layball:
au plain!!
 
Mkuu
Hongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai

congrats
 
Vp lkn mkali mkopo umepata iyo kozi au saman lkn
 
Back
Top Bottom