Recent content by Bangida

  1. Bangida

    JamiiForums Tanzania Emotional Fallacy vs. Class Elitism in Marriage Choice

    Hii suala bana bado ni pana. Most times kuna pande 2 zinazokinzana. Mimi ushauri wangu wa kienyeji, Humu members wamo wa kutosha, Ingewezekana, watupe experience zao tena kwa ranges tofauti maana we know kuna waliooa/kuolewa wakiwa na bikra au la Tena ingependeza waweke experience zao in a...
  2. Bangida

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Sasa hivi wako busy wanachezea switch, unakatwa, unarudishwa, after 4 min wanakata tena, then dk 10 wanarudisha . Mpaka siku iishe vifaa vingi sana vitakua vimeungua
  3. Bangida

    JamiiForums Tanzania Wazazi, likizo imefika; Mmemuandalia programu gani mtoto wako?

    Hivi hizi life skills e.g carpentry plumbing n.k ambazo watu wanaziongelea humu ndani, hao wazazi wanazo au ndo ile ya kuwapeleka tena training?
  4. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Huo mtaji unatumika kwa bidhaa peke yake au ndo humo humo kodi n.k?
  5. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Mimi niko mwanza. Mostly mimi nadeal na ngano, mafuta, chumvi,. Hizi ni raw materials
  6. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Im sorry my friend, kwenye hyo field sina expertise sana maana mimi biashara yangu inatumia baadhi ya products na ndo ambazo nanunua jumla. But kuhusu duka sijui sana maybe nkuulizie kwA rafiki zangu wenye wako na duka ya jumla. But most times nki9ngea nao wanasema inalipa japo faida ni kidogo...
  7. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Please kama hautojali be specific zaidi kwa kipi ili niweze kuona wat i can help kwa ajili ya watu wote.
  8. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Hao mawasiliano yao ni ngumu kupata. Lakini ukifika dukani kwao hata mara moja unatengeneza connection ya moja kwa moja wanakua wanakufungia mzigo wako wanakutumia. I think nshakueleza kuhusu wanaofanya aina ya vitu unavyotaka. Maybe kama unaulizia tena kuhusu specific bidhaa tujadili upya...
  9. Bangida

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Maybe sijaelewa unahitaji mawqsiliano gani. Maana wafanyabiashara wakubwa wanakuwepo kwenye ofisi zao. maybe uwe specific unahitaji msaada gani
  10. Bangida

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Chuki ubaya iliyopandikizwa katika familia yetu dhidi ya ndugu wetu wengine katika ukoo

    I think n jambo la kushukuru, ukozingatia huyo n muongo muongo as u said. Kuna uwezekano mmeepushiwa zigo la misumari, kwa sababu bimq n ya matibabu lakini sio ya matunzo. Hatumuombei mabaya lakn anaweza kupigwa shuti moja na hapo hao waliomng'ang'ania baada ya maneno ndo wataanza kuionja joto...
  11. Bangida

    JamiiForums Tanzania Ukipata free internet..utatumiaje?

    Mwanzoni hua kuna lile wenge la kupata free internet but with time hua linaosha unabqki kuiona kama kutu cha kawaida tu. Nilipofunga wi-fi kwangu, kulikua na the same situation, watu hawafamyi kazi, kila mmoja kwenye simu n.k, but within a week, woooi, wanafanya kazi zao kama kawaida na hawana...
  12. Bangida

    JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    GOgogo ni wa ziwa victoria. Ni watamu sana hasa wakiwa na mafuta na mayai. Anafanana na mumi lakini pale kwenye ndevu za mumi yeye ana mifupa miwili migumu (mmoja kila upande). Wanapendeza zaidi wakipikwa mchemsho. Wanapatikana zaidi visiwani kama ukerewe
  13. Bangida

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Binafsi nadhani tatizo hili linatokana na kutokua na uelewa mpana kuhusu generational wealth. Na pia sio tatizo la juu juu, linaanzia chini kabisa kwenye family level. Familia nyingi za kiafrica (tanzania to b specific) hazijui kuhusu tabia na uendeshaji wa fedha. Most ni hand to mouth with...
  14. Bangida

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

    Hyo sio leseni. Iko hvi, kama mtu una class C yoyote au E, lazma upitie kwa vehicle inspector akague vyeti vyako vinavyohusiana na hizo classes za leseni. Sasa mara nyingi ukifika hapo hua kuna usumbufu mkubwa na anaweza kukupeleka kwenye road test na yale magari yao mabovu. Ni ngumu sana...
  15. Bangida

    JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Aaah, washamvunja huyu mkata mauno
Back
Top Bottom