Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

Tumia hii toner,unasafisha na pamba baada ya kuoga kisha ndiyo upake mafuta.
Ila sijajua uko wapi maana zipo na feki za mchina,kama upo Dar nenda S.H.Amon(Mlimani city) au Zurii wapo Dar free market!
Asante sana mkuu. Nitaenda
 
INAWEZEKANA NI KILOMETERS ZISHASOMA ZA KUTOSHA MKUU😁

Pole sana
 
Ni ni-vea ipi hiyo mkuu ? Maana wana aina nyingi mno.
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi. naombeni mnisaidie kwa anayejua kitu kitachonirudishia rangi y’a mwanzo ambayo sio dark kama iliyopo saivi. Na shingo Pia, hasa upande wa nyuma Naona it’s darker
 
Mmh nilikua nimeiandika Ila nikafuta nimehofia kuharibu biashara Za watu na mod wakafuta uzi wangu kabla sijapata majibu y’a shida yangu Maana ni jina common sana. Ila product zao zingine zote ni nzuri.
Pengine una allergy na hiyo product.
 
Aah hata nilikua Sijui km wanazo Za aina nyingi so Sijui nilitumia ipi. Najua tu ni déodorant yao
Yapo ya aina nyingi, kuna Dry Impact, Silver Protect, Black & White Invisible, Cool Kikck, Fresh Active na mengine ambapo kila moja ina ingredients zake.
 
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi. naombeni mnisaidie kwa anayejua kitu kitachonirudishia rangi y’a mwanzo ambayo sio dark kama iliyopo saivi. Na shingo Pia, hasa upande wa nyuma Naona it’s darker
Usitumie limao pekee
Changamya na bicarbonate of soda
Ndani ya muda mfupi tu weusi utausikia.
Japo hii njia si nzuri sana kutumia kwa muda mrefu.

Njia nyingine ila ya taratibu
Usishave kwapa kwa shavers
Tumia waxing.
 
Asante sana mkuu. Nimeanza kufanya waxing nikataka niache sababu y’a maumivu, ila Ngoja niendelee nayo kwanza
 
Tumia old spice deodorant (sio antiperspirant).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom