Recent content by bandubandu

  1. B

    Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

    Ndanda ndio the best water sasa hivi kwangu mie
  2. B

    Picha: Huu mmea umetajwa na rais wa Madagascar kuwa unatibu corona kwenu upo?

    Amini usiamini Ile namaliza tu kusoma uzi huu natoka nje ya nyumba yangu nakutana na huu mmea umezagaa kibao kuzunguka nyumba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Salaam waungwana, Hakika na Mimi mmojawapo kati yenu kabisa kama muathirika wa hali hii,niliumwa sans mafua na kifua kikali sana kipindi hicho na hata wife na watoto pia walipitia hali hiyo hiyo kama ilivyokuwa kwangu. Nilipona mafua hayo kwa kipindi hicho na familia nzima tulipona ingawa...
  4. B

    Nimejisajili NIDA toka January ili kupata kitambulisho mpaka leo kimya?

    Mie mkuu nilijisajili toka mwanzoni kabisa zoezi lilipoanza lkn mpaka leo hakuna kitambulisho danadana zimekuwa nyingi mno,hata leo nimetoka huko
  5. B

    Kwanini Kadi za Kieletroniki za Usafiri wa Mwendokasi hazifanyi kazi?

    Wakuu hawapendi matumizi ya kadi kwa sababu zinaziba mianya ya wizi.
  6. B

    Rais Magufuli na Dr Mpango wako sahihi kuhusu fedha za ujenzi wa reli ya SGR

    Je hii ndio hadith ambayo ungependa uje uwahadithie wajukuu zako kwa kujivunia kabisa kupitia watoto wako hapo baadae,kumbuka uliwaahidi wanao kwamba wewe unayo fedha za kutosha kujenga miradi ya aina hii,Lakini baadae ukope ujenge kisha ulipe huo mkopo kwa kutumia pesa za ndani,je hii ni sawa...
  7. B

    Watanzania waomba Barclays mkopo kwa ajili ya SGR na Stieglar's Gorge

    Nakumbuka tuliambiwaga na mkuu kwamba upo mzigo wa kutosha kwa ajili ya made stieglar's gorge,sasa sijui mie ndio nimesahau au?
  8. B

    Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

    Nyang'au tu wewe tena mzembe uliyepitiliza
  9. B

    TANROADS pale Mbezi mwisho jengeni bypass kama hii

    Ni nini sasa,je hichi ndio kipimo cha usomi wako?na je haya ndio maono yako yalipoishia?umenisikitisha.
  10. B

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Asante sana kwa msaada mkubwa hasa kwetu sisi ambao tunajaribu kutafuta uzoefu ktk ufugaji,mie pia nimekutana na tatizo hilo la ndui kwa vifaranga ambavyo mpaka sasa wana umri wa mwezi mawili na siku kadhaa. Nimeshindwa mpaka sasa kuchanja ndui ili nipambane na ugonjwa kwanza,Shukran napambana...
  11. B

    Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini?

    Mtu mjinga kabisa,na wala sikuwahi kujua kama we ni mjinga wa kiwango hiki,yaani unafurahia watu kufa kidhalili namna hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

    Una hamu?moja imekushinda unataka mbili. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom