TANROADS pale Mbezi mwisho jengeni bypass kama hii

TANROADS pale Mbezi mwisho jengeni bypass kama hii

Miradi ya ujenzi Tz ni ya kipigaji. Watajenga barabara yenye mapungufu ili baada ya miaka michache ipanuliwe tena
 
Uwa najiuliza unashindwaje kujenga daraja wakati wataalam, materials kama cement, nondo nk zipo ndani ya nchi? Nashauri eneo lote la hifadhi ya barabara toka KIMARA-MBEZI TANROADS wawape wawakezaji wajenge Hotels, supermarket, Petro station zenye mvuto nk, ili kuleta muonekano unaendana na miji ya kisasa.
 
8f2a57413d2062d481fa61fa96666333.jpg
Hii sio Kigamboni?
 
kwa awamu hii ya tano chini ya JPM sina shaka barabara hiyo ya Kibaha hadi kimara itajengwa kwa viwango vya kisasa,.
haswa ikizingatiwa kuwa barabara hiyo ndio lango kuu la kuingia katikati ya jiji, huo ndio muonekano wa jiji, barabara hiyo ndio imeshikilia uchumi wa nchi yetu, sidhani kama kutakuwa na ubabaishaji.
Barabara hiyo inapaswa ianze kujengwa haraka!!
 
Hizo bypass tutasubiri hadi Yesu arudi. Hizo znazojengwa sasaivi (TAZARA/ ubungo) pamoja na kwamba ni low quality lakini bado zmechakachuliwa kama barabara ya mwendo kasi
 
Wewe umeshindwa kuona kilichomo kwenye ushauri wake na badala yake umekimbilia kuhoji elimu yake,si ajabu tuna wasomi makanjanja wengi kama wewe Tz.
Usimlaumu. Hivi ukipima suggestion ya mtoa mada na huyo jamaa ni yupi hana shule. Obviously aliyetoa ushauri ndio mwenye shule kubwa kuliko huyo kanjanja.
 
Umesomea nini ebu nianzie hapo na si ajabu umeishia la saba alafu leo unashauri watu wa digiriii
Kiukweli wewe ndio shule yako ndogo sana. Na kama una degree basi ulipata kwa ujanjaujanja kubebwa na wenzako kama katoto ka nyani. Group assignment ndio kabisa ulikuwa unajitokeza kuandika jina tu.

Low mind never understand big thought
 
Umesomea nini ebu nianzie hapo na si ajabu umeishia la saba alafu leo unashauri watu wa digiriii
Unataka kumaanisha kwamba yuko sawa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam? Bashite?? Maana alifaulu la saba tuu alipoishia hakuna ajuaye
 
Mainjinia wa Tanroads wakifika Nairobi au ulaya wanaishia casino. Zile bypass huwa hawana habari nazo. Ila kwenye kuvunja nyumba za watu mita 121. Wako vizuri
 
Back
Top Bottom