Recent content by BANDOKITITA

  1. B

    JamiiForums Tanzania KUACHIA RABA YA HEATPRESS

    Sema labda haujui heatoress ni nini Kwa wanaofanya kazi za printing wanaelewa nilichoandika
  2. B

    JamiiForums Tanzania KUACHIA RABA YA HEATPRESS

    Hii wanasema machine ikipata moto inaachia
  3. B

    JamiiForums Tanzania KUACHIA RABA YA HEATPRESS

    Heatpress yangu ni mpya sijaitumia ila wakati nimeifungua kwenye box na ku test ile silcone pad (rubber) ya platen ya juu imeachia. Nifanyeje ili niirudishie na kukamata vizuri
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Sasa 34 yrs bado unaweka mashariti kibao km mganga wa kienyeji
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Cape Verde, Vozinha (40), afanya 'saves' 7 na kuipa sare timu yake dhidi ya Uhispania

    Hawa cape Verde ni hatari, mhindi kwa hii mechi kala vichwa vingi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya printing

    Ungweka tu ili kila anaepita akute mzigo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya printing

    Kwa wale tunaofanya biashara ya printing hasa T shirt, mug, nk tupeane machimbo ya plain t shirt na material mengine kwa bei za jumla
  8. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli itaitazama vipi familia ya Kikwete, Membe & Rostam?

    Haswaaaa, mvinyo ni ule ule kilichobadilika ni rangi tu ya chupa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Ubabisha umewahi kwenda, u passport, hata gari za mkoani umewahi kupanda hara la nauli elfu 50. Unatumia google kupingana na eye witness.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    Najua unaanzisha nyuzi km hizi upate maoni ya wadau. Kwa uapande wangu wewe ndo ulitakiwa uuwawe tena hadharani maana mbumbu yeyote ktk familia ni mzigo. Sjui umenielewa?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli itaitazama vipi familia ya Kikwete, Membe & Rostam?

    Ni wale wale tu mbona hata alimuweka mpwa wake sehemu nyeti ya fedha.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

    Hatari sn
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

    Chama cha ACT Wazalendo kupitia Tawi la Mafifi, kata ya Kihesa mkoani Iringa, kimemvua rasmi uanachama Monalisa Joseph Ndala kwa madai ya kushindwa kutekeleza matakwa ya Katiba ya chama hicho, hatua ambayo inatajwa kuhusiana na mvutano wa karibuni juu ya uteuzi wa mgombea urais. Kwa mujibu wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasiojulikana wavamia nyumbani kwa mgombea ubunge moshi vijijini na kupasua kioo cha gari la mke wake

    Ngoja walionje joto la jiwe si waliambiwa No reforms no election wakajitia tamaa
Back
Top Bottom