BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Heatpress yangu ni mpya sijaitumia ila wakati nimeifungua kwenye box na ku test ile silcone pad (rubber) ya platen ya juu imeachia. Nifanyeje ili niirudishie na kukamata vizuri
Nnauhakika mleta uzi yupo bar, na anakunywa vinywaji vya bei nyepesiSijui Mimi nipo mbele ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,
Sijaelewa chochote kinachoongelewa kwenye huu uzi!
Hii wanasema machine ikipata moto inaachiaWeka superglue 😎
Sema labda haujui heatoress ni niniNnauhakika mleta uzi yupo bar, na anakunywa vinywaji vya bei nyepesi
Pitia tena hiyo comment yako mkuu.. Alaf naomba unisaidie kunijuza ile bia bingwa ina alcohol ngap?Sema labda haujui heatoress ni nini
Kwa wanaofanya kazi za printing wanaelewa nilichoandika
Mtoa mada anaonekana ana changamoto nyingi kwelikweliPitia tena hiyo comment yako mkuu.. Alaf naomba unisaidie kunijuza ile bia bingwa ina alcohol ngap?
Hahahahaaa, anachapia kichizi..Mtoa mada anaonekana ana changamoto nyingi kwelikweli
Shehe upo kwenye umri wa kuanza kutoa laana kwa watoto.Sijui Mimi nipo mbele ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,
Sijaelewa chochote kinachoongelewa kwenye huu uzi!
Heatpress yangu ni mpya sijaitumia ila wakati nimeifungua kwenye box na ku test ile silcone pad (rubber) ya platen ya juu imeachia. Nifanyeje ili niirudishie na kukamata vizuri
Njoo hapa... nikushonee mkuu.... mimi ni expert wa kushona thread vizuri tu!Heatpress yangu ni mpya sijaitumia ila wakati nimeifungua kwenye box na ku test ile silcone pad (rubber) ya platen ya juu imeachia. Nifanyeje ili niirudishie na kukamata vizuri
Itakua ni mtumiaji mzuri wa joboMtoa mada anaonekana ana changamoto nyingi kwelikweli
Machine gn mkuu?Hii wanasema machine ikipata moto inaachia