Baki3 katekeleza wajibu wake yupo hapo kusaidia kazi za ndani kuhakikisha familiar haipungukiwi yeye anaziba sioni kosa lake kosa la mke ni kushindwa kutambua majukumu ya beki 3 aelimishwe kuwa hilo ni mojawapo anapokuwa safari
Hakuna uthibitisho kama kweli kauwawa kwa kuwa mabaki yake hayajapatikana huwenda kahifadhiwa pahara uchunguzi wa kina unahitajika kupata majibu ama akiwa hai au akiwa mfu
Alikuwa dhaifu mno na haya yatupatayo sasa ni matokeo ya bunge lililopita kupitisha miswaada kwa hati ya dharula magu akajifunza hapo kuwa wa tz wanabuluzika tu anatubuluza hata sasa
Usithubutu kuchepuka makahaba wana mbinu nyingi za kukamata mume wa mtu usije itesa familiar yako waone washauri nasaha watakulejesha katika hari ya kawaida utampenda tena mkeo hilo ni tatizo dogo na lipo kwenye ubongo wako linatoka kilahisi tu mkuu
Wakati wa kutaka ushauri ulikuwa kabla ya hatua mlizopitia kwa sasa umechelewa inakulazimu kuvumilia changamoto iliyopo ukivunja uchumba ilihari mahari imetolewa utafarakana na familiar yako kwa heshima ya familiar yako kavumilie hayo kwa mumeo hayata kuumiza kwani unayajua nawe umejiandaa kwa...
Usiendelee naye kwa vyovyote vile huyo kakuzidi umli utamchoka mapema yeye mzoefu wa ndoa wewe hujui adha ya ndoa ishia kwenye mchepuko huo huo atakusumbua baadaye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.