Goodhope078
Member
- Mar 8, 2017
- 70
- 23
- Thread starter
- #41
Yye 17Ushauri wangu, kama umri wako ni 29+ na unaona anakufaa oa,
Lakini kma umri wako ni chini ya 27, ukioa msimbe umejila,
Yye 17Ushauri wangu, kama umri wako ni 29+ na unaona anakufaa oa,
Lakini kma umri wako ni chini ya 27, ukioa msimbe umejila,
Duhh bhana eee sielewi nn cha kufanyakabisaa..
Fanya uonalo jemaKuna dada niko nae kwenye mahusiano ila ni msimbe na maanisha aliwahiwa kuolewa na jamaa mwingine ila mimi na yeye tunapendana sasa mwenzangu ananiambie tuoane ila mimi naogopa kuchukua wowote maana yeye ni msimbe na mimi bado sijafanikiwa kupata mke ila nahisi nampenda nahitaji ushauri wenu.
Kwann mkuu23 kwa 17
Nyie ni warabu au wahind?
Mkuu nmekusoma vzuri lakni yeye tumejuana nae mwaka Jana mwez wa 6 mpaka sasa nko nae lkn tatzo LA yy kumkimbia Mme ake n vipigo ambavyo kwamjibu wa shemeji ake ambae mm n dada ang alisema kwamba forced married and kunyanyaswa na mke mwenzake ambaye ndoo mkubwa alimkuta pale.Mke ni zaidi ya tendo la ndoa, jiulize mipango yako katika maisha ni ipi, angalia kama huyo ni mtu sahihi kuwa mwenzi wako katika maisha yako na familia utayojaaliwa na Mungu, kama ana vigezo vinavyokufaa fanya utaratibu wa kumuoa kama na yeye ana nia ya dhati na pia hujaeleza mmefahamiana na kwa muda gani na kama unaijua historia ya maisha yake kutoka kwa watu wengine USIKURUPUKE na ni vizuri ujue kwa hakika kwanini aliachika inawezekana mkosaji ni yeye, kuoa msichana mdogo si kigezo cha kupata mke bora, mke bora anaanzia alivyolelewa na wazazi wake
Uo umri co wa kawaida kwa Watanzinia wengi kuoana kama labda kama ni wakijijinKwann mkuu
Of course mkuu mm Nmehtm 2016 form 4 yy 2015 amehtim la sabaUo umri co wa kawaida kwa Watanzinia wengi kuoana kama labda kama ni wakijijin
Wengi hao hua wanasoma kwa umri huo...otherwise kwa hyo jamii nilokutajia
Labda aliyekeketwa.Msimbe ndo nn?
Aliye wahi kuolewa akaachikaLabda aliyekeketwa.
Bint mwenyewe huyo hapaUo umri co wa kawaida kwa Watanzinia wengi kuoana kama labda kama ni wakijijin
Wengi hao hua wanasoma kwa umri huo...otherwise kwa hyo jamii nilokutajia
sikushauri kabisa ufuate ushauri aliokupaDuhh bhana eee sielewi nn cha kufanya
Umeuliza maswalu ya msingi sn mm binafsi nimeacha mke bila kupenda so binafsi nimekuelewa sana!Aliyewahi kumuoa yupo hai? Walizaa mtoto/watoto? Ilikuaje wakaachana?
Kama yanakufaa maswali hayo, yazingatie kwa kina!