Ifike mahali tuache kuchukulia kuwa ni big deal mtu anaposema ana miliki gari ama nyumba.
So what if they really own it?
Let as look at the point they are trying to put forward, offer advice or walk away if we can't.
Tusiwashambulie wenzetu over what they have. Let's take it as a challenge itupe moyo na sisi tutafute vya kwetu.
Pia ifike mahali tukubali kwamba binaadamu hatufanani just like the fingers on our hands. Sio ki tabia si uwezo.
Mfano, naweza kuwa sina hata baskeli... lakini nilikimbilia kujenga. Naweza kuwa sina gari baskeli wala kibanda but faraja yangu ipo katika familia yangu. Watoto wangu wanakula wakitakacho na wanalala pazuri...
Zote hizi ni baraka na ni aina tofauti za furaha kwa wamiliki. Tusiwe na chuki kwa wenzetu ambao tunahisi wametuzidi kitu in one way or the other.
Lets be kind to each other, Positive vibes whenever we can.