Recent content by Bampcm

  1. B

    JamiiForums Tanzania Facts: Usiyoyajua kuhusu nchi ya North Korea

    List of stadiums by capacity - Wikipedia, the free encyclopedia
  2. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph University- Arusha na TCU

    hv inawezekana kuama chuo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ludewa (Deo Filikunjombe) anusurika kufa maji Ziwa Nyasa

    Deo Filikunjombe afariki dunia Deo Filikunjombe afariki dunia | East Africa Television
  4. B

    JamiiForums Tanzania Second selection vyuo vya afya majina yameshatoka

    Duh! Bado n ukakasi, subira inahitajika.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari zenu wana jamvi. Nipo kidato cha sita na nnategemea kufanya mtihani wangu wa mwisho tar 4 ya mwezi wa tano. Baada ya kubana matumizi shuleni nimeagiza kutengenezewa incubator ya kutotoleshea ambayo itakua tayari mwanzoni mwa mwezi wa tano. Malengo yangu ni kutotolesha mayai alafu kisha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania embu cheka kdogo

    Wacwac wa mapenzi waua jaman.
  7. B

    JamiiForums Tanzania embu cheka kdogo

    Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari Mtoto: Sawa mama Mtoto: Mama simpati Mama: Bac subir kama baada ya dakika tano mpigie tena inawezekana ni mambo ya network hayo. (baada ya 5 mins) Mtoto: Mama mimi baba simpati simu yenyewe anapokea mwanamke. Mama: Kha! Sawa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    daaaaa cpat pcha nikirud ntakua mweusi kiasi gan. But iv ni kombi zp znafanya vzur apo shule
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    nashukuru bro kwa info. Kuna watu huku mtaan kwetu wananitisha, wanasema et kuna barid hd barafu znadondoka na wanafunz wanashnda wamevaa makot, kofia na gloves. Et hii ina ukwel wowote?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    vp kwa comb zetu hz za sayansi kuna watu wa aina hiyo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    Niambien nijiandae na v2 gan vya kwenda navyo huko na inaweza kughalim kiasi gan?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Urahisi na uzuri wa combination ya PCB!!

    Nimejua meng kupitia thread hii hasa kwa comb yangu ya pcb but nahtaj kufaham kwa kariakoo duka la vtab la uhakika kupata iv vtab kwa bei nafuu kdogo lipo maeneo gani? Alaf review ya phy,chem na bio znauzwaje?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    nimekusoma bro
Back
Top Bottom