Mbunge wa Ludewa (Deo Filikunjombe) anusurika kufa maji Ziwa Nyasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Ludewa (Deo Filikunjombe) anusurika kufa maji Ziwa Nyasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Jul 24, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Mtumbwi uliompakia mbunge Filikunjombe na mwenyekiti wa CCM Ludewa ukivutwa kutoka ziwa nyasa na watoto

  Mbunge wa jimbo la Ludewa Mkoani Iringa mhe.Deo Filikunjombe (CCM)ambaye na makam mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge mashirika ya umma akiwa na mtoto wake wa miaka 11 na dereva wake wamenusurika kifo baada ya mtumbwi waliopanda kwenda kuingia ktk boti kupinduka ktk ziwa nyasa leo asubuhi.

  Tukio hilo limetokea majira ya saa 11.20 asubuhi leo wakati akiwa ziara kutoka kata ya Makonde kwenda kata ya Kilondo na Rumbila kata za kando kando ya ziwa nyasa.mtumbwi huo ulipinduka baada ya kupigwa na wimbi zito ambalo lilitokana na ziwa hilo kuchafuka toka jana usiku.

  Hata hivyo jitihada za waokoaji ziliweza kuzaa matunda na kuwaokoa wote watatu kabla ya kuzama ktk ziwa hilo. Habari zaidi utaendelea kuipata ktk mtandao huu

  Source: Mzee wa Matukio daima

   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hadi leo miaka 50 miundombinu ya bandari ziwani nyasa bado kuimarishwa hadi watu waendelee kupanda mitumbwi kwa ajili ya kudandia meli? Huko ndiko alikoahidi Kikwete kuigeuza miambao ya ziwa Tanganyika na Nyasa kuwa Dubai?
   
 3. P

  Penguine JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Pole sana kiongozi, wacha kuchezea Ziwa Nyasa Kaka.
   
 4. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa haitaji kuambiwa tena nini cha kufanya.Je anaweza nunua boti ya kisasa kwa ajili ya waajiri(Wananchi) wake?POSHO c mlizitaka wenyewe sasa mtafunzwa kwa vitendo.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ilo ziwa lina mawimbi mabaya sana hasa likichafuka watani zangu pale manda,ritui ,itungi na mbambabay wanalijua ilo.
  Miaka 50 tumeweza na tumedhubutu kutembelea mitumbiw
   
 6. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2015
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  duh..................................
   
 7. Ghosryder

  Ghosryder JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2015
  Joined: Jul 6, 2014
  Messages: 9,149
  Likes Received: 2,162
  Trophy Points: 280
  Sasa unacomment kwenye habari ya 2011 kwa nini? Hii sio tabia nzuri.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2015
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  Matambiko mengi
   
 9. Mungu Mweusi

  Mungu Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2015
  Joined: Oct 20, 2014
  Messages: 1,269
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Hovyo Lete habari za chopa
   
 10. JAMHURI

  JAMHURI JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2015
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  pole kaka
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2015
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  Ndio nini kuamusha uzi wa presha.?
   
 12. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2015
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,278
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  hilo ziwa tunaliweza sisi watoto wa kinyasa tuliozaliwa vilindini aka "vana va palochi".watu wa milimani kama akina filikunjombe lazima watokee na majanga kama hayo.pole yake.
   
 13. LIKE Niku ADD

  LIKE Niku ADD JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2015
  Joined: Jul 21, 2014
  Messages: 3,414
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  acha kukufuru Mungu ndo nini sasa kufuku uzi wa zamani
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2015
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Jini la ajali likimuandama RIP filikunjombe
   
 15. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2015
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 10,479
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hatimaye wamefanikiwa
   
 16. Nelson nely

  Nelson nely JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2015
  Joined: Jan 25, 2014
  Messages: 2,741
  Likes Received: 981
  Trophy Points: 280
  wakina nani?
   
 17. B

  Bampcm Member

  #17
  Oct 16, 2015
  Joined: Feb 26, 2013
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 18. j

  jaxborn kasanya JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2015
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 299
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mtoa post unatumia gongo gani? No 1 au?
   
 19. JAKUGOTE

  JAKUGOTE Member

  #19
  Oct 16, 2015
  Joined: Nov 19, 2013
  Messages: 29
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  mtoa post kafanyaje kwan? hiyo n post ya 2011 jamaa kaifufua tu hapo juu baada ya haya yaliyojiri kwa mh.
  rip F.Njombe
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...