Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Habari zenu wana jamvi. Nipo kidato cha sita na nnategemea kufanya mtihani wangu wa mwisho tar 4 ya mwezi wa tano.

Baada ya kubana matumizi shuleni nimeagiza kutengenezewa incubator ya kutotoleshea ambayo itakua tayari mwanzoni mwa mwezi wa tano. Malengo yangu ni kutotolesha mayai alafu kisha kufuga kwa mtotolesho wa kwanza then baadae nianze kuuza vifaranga.

Yote haya nataka kuyafanya kipindi nasubiri kwenda chuo mungu akitia wepesi. Naombeni ushauri wenu katika hili ili niweze kulitekeleza kwa ufanisi.

VITU AMBAVYO NINGEPENDA KUSHAURIWA
1.Upatikanaji wa mayai na gharama zake
2.Gharama za ufugaji kwa kuku 100
3.Soko la vifaranga hasa kwa eneo nililopo la kibaha
4. Aina ipi ya vifaranga inalipa zaidi
5. Utaalam wa kuchagua yai bora
6. changamoto ambazo huambatana na matumizi ya hizi mashine
7. Changamoto zinazoambatana na kufuga hawa kuku wa kienyeji

Nawasilisha
 
Asante sana sometimes kwa kuniwakilisha,naomba unitumie jina lako halisi,ili niweze kukutambua ni nteja wangu yupi kati ya wengi walioagiza hawa wa mikoani.

Ni kweli kampuni yangu inaunda incubator nzuri na za kisasa kabisa kuendana na mazingira,kipato cha mtu nk.kwa namna moja au nyingine ni kama natoa huduma tu kuwasaidia wahitaji, hivyo nawasihi watanzania wenzangu kuthubutu kwa kuchangamkia fursa hizi adimu, ninasema adimu kwa sababu sio wote wanaojitangaza hapa wanaunda incubator nzuri, hapana, wengine ni wababaishaji tu, unapotaka incubator, ebu basi ifanane kabisa na za ulaya kwa kila kitu, kuanzia umbo na ufanisi.

Changamoto ninazopata ni watu kuwa wagumu kuamini, lakini wakishazichukua wanatamani kuagiza kubwa zaidi.

Pia tunawasaidia wateja wetu kupata mayai ya aina zote au vifaranga.wasiliana nasi,0784413039.
 
. mini mac inauzwa, and those are the specś
2.4GHz Intel Core 2 Duo Processor
4 GB of 1066MHz DDR3 memory
Dual 320GB 7200-rpm Serial ATA hard Drives
NVIDIA GeForce 320M Graphics
Mac
nichek inbox pls
 
Asante sana sometimes kwa kuniwakilisha,naomba unitumie jina lako halisi,ili niweze kukutambua ni nteja wangu yupi kati ya wengi walioagiza hawa wa mikoani.

Ni kweli kampuni yangu inaunda incubator nzuri na za kisasa kabisa kuendana na mazingira,kipato cha mtu nk.kwa namna moja au nyingine ni kama natoa huduma tu kuwasaidia wahitaji.hivyo nawasihi watanzania wenzangu kuthubutu kwa kuchangamkia fursa hizi adimu,ninasema adimu kwa sababu sio wote wanaojitangaza hapa wanaunda incubator nzuri,hapana,wengine ni wababaishaji tu,unapotaka incubator,ebu basi ifanane kabisa na za ulaya kwa kila kitu,kuanzia umbo na ufanisi.
Changamoto ninazopata ni watu kuwa wagumu kuamini,lakini wakishazichukua wanatamani kuagiza kubwa zaidi.

Pia tunawasaidia wateja wetu kupata mayai ya aina zote au vifaranga.wasiliana nasi,0784413039.

Kwahyo mayai sio yale yanayo uzwa dukani
 
Habari zenu wana jamvi. Nipo kidato cha sita na nnategemea kufanya mtihani wangu wa mwisho tar 4 ya mwezi wa tano. Baada ya kubana matumizi shuleni nimeagiza kutengenezewa incubator ya kutotoleshea ambayo itakua tayari mwanzoni mwa mwezi wa tano. Malengo yangu ni kutotolesha mayai alafu kisha kufuga kwa mtotolesho wa kwanza then baadae nianze kuuza vifaranga. Yote haya nataka kuyafanya kipindi nasubiri kwenda chuo mungu akitia wepesi. Naombeni ushauri wenu katika hili ili niweze kulitekeleza kwa ufanisi.
VITU AMBAVYO NINGEPENDA KUSHAURIWA
1.Upatikanaji wa mayai
na gharama zake
2.Gharama za ufugaji kwa kuku 100
3.Soko la vifaranga hasa kwa eneo nililopo la kibaha
4.Aina ipi ya vifaranga inalipa zaidi
5.Utaalam wa kuchagua yai bora
6.changamoto ambazo huambatana na matumizi ya hizi mashine
7.Changamoto zinazoambatana na kufuga hawa kuku wa kienyeji

Nawasilisha

Naomben mchango wenu wakuu
 
Incubators price list.

A.automatic electrical egg incubators.

1.30-60..........500000
2.60-90 .........600000
3.90-120........700000
4.120-150......800000
5.150-180......900000
6.180-210....1000000
7.240-270....1100000
8.270-300....1200000
9.360...........1400000
10.420.........1500000
11.480 ........1600000
12.510.........1700000
13.600.........1900000
14.660.........2000000
15.720.........2100000
16.780.........2200000
17.840.........2300000
18.900.........2400000
19.960.........2500000
20.1020.......2600000

b.electrical manual incubator.
Basically,this is incubators uses handle to turn egg manualy after each eight hours.
If you need manual incubator,reduce tshs.200000,in the normal price of automatic,the remaining is the price of manual inc.
 
Inatumia umeme wa kawaida, solar power na battery, ni full automatic, mayai 210 pia zipo za mayai chini ya hapo. 0717169816 whatsapp only or isayasalathiel@gmail.com

1432284842964.jpg
 
Inatumia betry ya aina gani? Mnatoa warranty ya mda gani? Maana hizi machine..bila warranty alafu ukitumia isikupe best results itakuwaje?
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom