Recent content by BAMKUU

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

    Mada ilikuwa nzuri ya kuelimishana ila kwa kuwa jamvi hili kuna vichwa vingi vinavyowaza tofauti ndo maana michango mingine hakutoa majibu wala viongozi uelewa. Hoja km have hizi zikichangiwa kwa busara tutajikuta tunaondoka tofauti kubwa za kiimani tulizonazo, hata wale wanaodhani au...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

    Hongera kwa mchango mzuri
  3. B

    JamiiForums Tanzania Namaliza chuo London University Vipi TANZANIA kuna ajira nije?

    Unaweza kuchunguza makinikia? Huku bongo tunahitaji mtu kwenye hii Delta kwani kuna hela kibao za kugawana raia. Tatizo wataalamu na wachunguzi. Karibu!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Murder Or suicide?

    Kapigwa risasi, akashikishwa bastola na sigara pia. Angekuwa kajipiga risasi asingeweza kushikilia sigara wala hiyo bastola hasa baada ya kudondoka.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sijasikia ACACIA wakijitetea, namsikia Mtanzania Tundu Lissu akiwatetea!

    Mtoa Uzi naye ni msomi tena mwanasheria!!! Ndo maana nchi iko hivi kwa wasaka tonge km huyu. Mh. Magufuli muone...[emoji33]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Kweli hapa inabidi tuweke mawe uhesabu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Mtoa madam naomba umetengenezwa, kwangu mambo mango umetia chumvi. Mango duals la Katiba na muda wa askofu Kuala madarakani haikuwa sehemu ya agenda isitoshe kanuni ya KKKT SMP unaweza vizuri juu ya jambo hilo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa CUF Mtwara hauhusiki na UKAWA, ni ushindi wetu kwa nguvu yetu

    Ni kweli hupaswi kujisifu kwa kushinda Jimbo wakati huo huo unaiacha serikali ya CCM madarakani. Kuna majimbo mengi sana yaliyokuwa na wabunge wa upinzani lakini kasi ya maendeleo ikadhoofishwa na utawala uliopo. TUTAMBUE KUENDELEA KUBAKI CCM MADARAKANI HATUKOMOKI CHADEMA TU BALI NI TUNAKOMOKA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe avunja sheria tena; Afanya mkutano wa hadhara Bagamoyo kinyume cha sheria

    Dada umefanya vizuri ukaweka ratiba inayoonesha kuwa CUF watakuwa Maji Coast (Kwa Maiko) na CCM watakuwa Magomeni B (Mwembe Mkavu) CDM wao wametumia uwanja upi kati ya hizo mbili?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Kwa pesa hiyo ndugu inatosha biashara ya dagaa, mayai ya kuchemsha, maandazi, chapati na vitu vingine vidogo dogo kama hivyo. si unajua hela ya Tz na gharama za vitu zilivyo juu hasa baada ya umeme kuwa juu?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Nakubaliana na wazo lako.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA washambulia jimbo la Hai, wafanya mikutano 10 kwa siku

    Mh. Natse kumbuka Lyamungo CHADEMA isimame.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza amlipua Mbowe

    +nina shaka na afya yake ya akili. atakuwa mgonjwa huyu.
Back
Top Bottom