Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

mfamaji haachi kutapatapa. aachane na CHADEMA hi historia sasa maishani mwake

Jamani, kumbe humu JF kuna watu ambao si great thinker. Simple logic, mleta mada amemnukuu Shonza ambaye amezungumza ukweli kuhusu kiwango cha elimu cha Freeman, mwenyekiti wa Chadema kuwa ni kidato cha nne na ni rekodi ya kipekee katika SADC kuwa na kiongozi mkuu wa upinzani form four, Ingawa nilisikia sehemu Mbowe ni form six leaver, tujadili suala hili badala ya kutafuta wengine wa kumlinganisha na Mbowe. Ni udhaifu kukimbia hoja kwa kujadili watu wengine. Je, Mbowe ni form four? Je, anamudu kazi..hapa mnaweza kumpima uwezo Binafsi katika maswali ya Papo kwa Papo bungeni, huwa anashindwa kutengeneza maswali ya nyongeza vizuri inaashiria ni mjanja wa kukariri kama Lowassa lakini ukimbana katika suala Hilo Hilo ni mwepesi mno...je, ni kiwango kidato cha elimu? Tujadili.
 
in most cases real politicians education is nothing, to them leadership is natural spiritually. Look from people like Adolf Hitler with low level of education and were having ability to make actions rather words to make suffering; mbumbumbu wa kibongo wanadhani uwezo wa kupayuka ndo uwezo katika uongozi
 
Tumtakie uma..ya mwema kuwatosheleza wote saliomwita huko alipo thithiemu.
 
Shonza kayasema akiwa redio uhuru jaman mlitegemea nini hapo?binti nakuasa ujinga unakufuata kwa kasi sana nakupa pole,nenda redio huru kwa mawazo na si uhuru kijiwe cha magamba,karibu mbeya wewe na mtela kama kweli nyie ni wajenz wa siasa tuone kama mtamaliza hata sekunde jukwaani,KARIBUNI MBEYA.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Story za changudoa
 
Mbona huyu wa kwenu ana shahada ya udsm hata familia yake inamshinda kuiongoza?Wewe ni gamba.Huyo Shonza na umbo lake ni chakula ya wazee.
Ktk maandiko ya vitabu ninayoyapenda basi ni yale yanayomhusu yesu. mahali fulani anasema hakuja kwa walioshiba bali wenye njaa.INAFIKIRISHA. Shonza, mwampamba na wengine wengi wanajionaje? Kwa uelewa wangu WANAJIONA WAMESHIBA NA HATIMAYE HAWATAKI KUJUA NJAA YA WATANZANIA MASIKINI WASIO JUA NINI SABABU YA UMASIKINI WAO? Matatizo yao yote WAMEMTWISHA MUNGU KIUMBE ASIYEONEKANA ANAYETAKIWA KUAMINIWA TU KWA IMANI AMBAYE JAPO HAONEKANI AMETUPA RAMANI NA USAHIHI WA MILIKI YETU NA AMALI TUNAZOPASWA KUMILIKI NA ZIKO WAZI. Shonza hatimaye anatakiwa kuonyesha yupo upande gani? NIMECHOKA NA ULEVI WA JUMA2. ILA WANAJAMII LINGANISHENI ALIPOKUWA CHADEMA. ALIKUWA ANAMTETEA NANI NA SS YUPO CCM ANAMTETEA NANI NA JE WAPI ALISTAHILI AWEPO KTK KILE ANACHOKIAMIN NA NDIYO KINATAKIWA WATZ WAELEZWE NA NI VEMA TUKAJUA MAPEMA TENA KWA UHAKIKA KYWA WATZ UWEZO WA UWELEWA JUU YA HAKI ZAO NI BAAAAAADO SAAAAAAAANA. YAHITaji uvumikivu na nia thabiti na utekelezaji thabiti. MUBARIKIWE WOTE
 
Pole shonza bado hujatapatapa watakutumia kama condom na watakuacha shonza jiulize nakaya sumari yuko wapi baada ya kuhamia ccm kwa magamba ila nashukuru kwa kukiri dr,slaa ni rais 2015 ndani ya ccm wasomi ni wangapi na wametusaidia nini zaidi ya kuomba misaada nje.n.b mikataba yote 19 atakayosaini rais wa china chadema tusaidieni iwekwe hadharani watanzania tuijue tuna hofu na hiyo mikataba ya ccm na huyo mchina
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Wapuuzi wa maisha mnadhani tunahitaji digrii ili zitusaidie nini?kama kawawa alikuwa waziri mkuu mwenye elimu ndogo lakini alikuwa mwaminifu wa mali za umma na hakuwa na tamaa sembuse majizi haya yenye digrii za kila aina?kuwa na digrii kama za akina shonza ukakoswa uwelewa ni heli darasa la saba lenye uwelewa.
 
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?

Ukweli unauma. Na mtakesha sana humu JF ila Ikulu mtaendelea kuisikia redioni tu. Kazi yenu kuandamana tu na kupanga kuteka watu.... Rudini tena Ujerumani na Urusi mkasome tena namna ya kufanya propaganda. shame on you
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
tunachoitaji ni uzalendo na uadilifu basi, kuwa na madigri sio hoja, mbona kina chenge wana elimu nzuri lakini chenji ya rada kama kawaida. Hiyo digrii ya shonza inalisaidia nini taifa letu? Kama si tamaa tu ya madaraka?
 
Hii post kumbe wameigawana.kule Fb aliileta yule mtela mwampamba,huku kaileta juliana.kweli hawa jamaa wameishiwa.kule fb nilimwambia mwampamba kwamba.pamoja na elumu yako,mbowe anauwezo wa kulisha familia yenu miaka mia,mbowe ni one of the tycoon in this country,ni mbunge,mwenyeketi wa kambi rasmi ya upinzani,ni mwenyekiti wa chadema ni mfanya biashara mwenye mafanikio hapa nchini.je juliana na mtela nyie mna nini na haya madigiri yenu?
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
kila kitu bongo substandard
 
Andry Nirina Rajoelina born 30 May 1974, is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on 21 March 2009 during a political crisis, having held the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. He began his career as an entrepreneur in his teenage years, first as a DJ at local clubs and parties, and later by organizing and promoting musical events in the capital.
ndo maana ka inchi maskin
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Jamani wana ccm komaeni kiakili education cannot rule mbona una wakina Nape wana Phd lakini waropokaji hawajui utawala ? Uongozi ni kipaji na c elimu
 
Huyu Juliana Shonza bila ya shaka anatumia nanino.... yake kufirkiri!!!
Inaonesha tu kuwa hata hiyo nanino yake inawashwa na inahitaji tiba mbadala haraka sana!

NB: Nanino maana yake ni kuXX!
 
Ungaliandika "Juliana Shonza azidi Kujilipua Mwenyewe." Hapo ningalikuelewa na sii vinginevyo. Haka kadada ni njaa tu inakasumbua wala hakajui kako wapi!
 
Back
Top Bottom