Recent content by Bamileck

  1. Bamileck

    Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

    Ni mabwana harusi wa muda wote tanzania wanaitendea haki ibada ya ndoA [emoji28][emoji28][emoji28]
  2. Bamileck

    Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

    Ni muanzilishi wa bongo fleva au jina la bongo fleva?
  3. Bamileck

    Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

    Sidhan kama zinamshinda ni kwamba anaongeza wake
  4. Bamileck

    Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

    Pamoja na umahiri wao redioni, kuna sehemu fulani katika maisha wanaitendea haki ipasavyo. Je, ni sehemu gani iyoo[emoji28][emoji28]
  5. Bamileck

    Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

    Elezea nini kilikukuta baada ya kula PESA ya ada Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bamileck

    UZI WA CHANGAMOTO ZA MAISHA NA MARADHI NA UTATUZI WAKE

    Kupitia uzi huu kila mtu aeleze anasumbuliwa na tatizo gani au anasumbuliwa na Maradhi au maumivu gani ..na tuelekezane njia za za kutatua Shida YAKO ya leo ,,,,ni shida ya mwenzio ya jana,,,na ni shida ya mwenzio wa kesho tusaidiane
  7. Bamileck

    Simba vs Stella (abdijan 1993) msemaji wa simba mwaka ule alikuwa nani?

    Soma mainbody utaelewa nilichoomanisha hiyo ni headline tu
  8. Bamileck

    Simba vs Stella (abdijan 1993) msemaji wa simba mwaka ule alikuwa nani?

    Namaanisha kuwa simba ni Timu kubwa kubwa tena kubwa Sana Kama mafanikio yalianza kuwa zamanii Mashabiki wa simba wanahitaji Timu nzuri wachezaji wazuri na vikombe vingi Simba ilishafanikiwa miaka mingi nyuma kabla ya kuanzishwa KWA kitengo cha MSEMAJI wa Timu Kilichoongelewa leo kwenye press...
  9. Bamileck

    Usiwatukanie wenzio Mungu wao wa uongo maana watakutukania Mungu wako wa kweli

    Kila mtu aheshimu imani ya mwenzie. Tubakie na hilo Kuna maswali mengi hayana majibu katika suala zima la imani "USIMTUKANIE MWENZIO MUNGU WAKE WA UONGO MAANA NA YEYE ATAKUTUKANIA MUNGU WAKO WA UKWELI"
  10. Bamileck

    Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  11. Bamileck

    Natafuta rafiki wa kiume

    Hivi mpaka rafiki wa dhati nae unataka awe mrefu mng'avu ?
  12. Bamileck

    Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake. Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
Back
Top Bottom